Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafikiri now ushaona udhaifu wa serikali iliyopo.
Hawa jamaa wanabore sana kaka, Na haya ndio Madhara ya uchaguzi wa kisenge uliofanyika 2020,
Mbunge anatakiwa ajue kuhoji kwa maslahi mapana ya nchi sio kuangalia tu tumbo lake..
Yanapitishwa mambo ya kijinga sana mle ndani hakuna wa kuhoji.
Huu urithi wa wajinga tulioachiwa utatutesa sana.Sasa mbaya zaidi remote control haipo Ameenda zake
 
Tuna wanasiasa wapumbavu sn nchi hii, na bado tunaambiwa mbunge co lazima awe amesoma, eti darasa la saba linatosha kabisa mtu kuwawakilisha wasomi na wasio wasomi mwisho wake ndiyo haya yanayotokea, viongozi wamechagua kuwa wabinafsi miaka nenda rudi, kila kiongozi ameona njia pekee ya kumpa ugali ni kusifu kila kitu cha serikali, upumbavu huu cjui utaisha lini aisee.
 
Jpm Alibana wakubwa mbavu akajenga hosp hc disp nk...sasa Mama kaona ni dhulma wacha tugawane hasara ,kinachotuuma sio tozo,ni ku9na wanaagiza mav8 ya 500M ilhali watu tunabinywa kila angle...atleast wangejibana basi mambo yaende...Yani tunajibana alafu yanatokea matumizi ya hovyo katikati
Naona akili zimeaanza kurudi mwanzo ulikua unanfagilia sana mama
 
Hizi kesi bhana wewe..
Uislamu ndio umeletwa na waarabu ila sio kila Mwarabu ni muislamu alkadhalika na ukristo, kwahyo walioeneza dini walifanya hivyo na walio tunyonya pia walifanya kilichowaleta, and that's why tuko na both effects za dini pamoja na za exploitation

Kwenye masuala ya usmamizi wa sheria/watengeneza organizations katika dini, nitajibu kwa upande wa waislam pekee, kiislamu hukumu zote zitatekelezwa kwa mujibu wa kitabu kilivyoandikwa and there's no one above the law..

Mambo za Catholic church nisingependa kukujibu kiundani, sitaki kuwakwaza christians humu
Sheikh Sama boy.., 🙅‍., 😜😂
 
Tuna wanasiasa wapumbavu sn nchi hii, na bado tunaambiwa mbunge co lazima awe amesoma, eti darasa la saba linatosha kabisa mtu kuwawakilisha wasomi na wasio wasomi mwisho wake ndiyo haya yanayotokea, viongozi wamechagua kuwa wabinafsi miaka nenda rudi, kila kiongozi ameona njia pekee ya kumpa ugali ni kusifu kila kitu cha serikali, upumbavu huu cjui utaisha lini aisee.
Katiba mpya tu apa
 
Likijaga suala la dini watu wanasema zimeletwa na wazungu na Waarabu tunatakiwa tufuate asili zetu.
Ila kwenye mambo ya vitu na maendeleo hawasemi tuache magari tutembee kwa miguu au tuishi kwenye mapango nk.
Mkuu, Kuna Mambo mengi mazuri yaliyoletwa na wazungu, pia Kuna Mambo mengi ya kijinga pia. Tunapaswa kuendeleza Yale mazuri na kuachana na Yale ya kijinga.

Tatizo ni pale ambapo tunapinga Mambo mazuri waliyoyaleta hasa katika sayansi(scientifically proven), na kukumbatia Yale ya kijinga ambayo mengi yanatugawa tusiwe pamoja eti kwasababu tu tunatofauti za imani.

Ni ujinga wa hali ya juu kwa watu toka jamii Moja kushindwa kufunga ndoa eti kwasababu ni dini tofauti, hata Kama ni watu wa kabila Moja.

Dini na ukabila havitofautiani, tofauti ni kwamba ukabila chimbuko lake ni Afrika, na hizi dini za kigeni chimbuke lake ni nje ya Afrika. Ukabila tunaupiga vita kwamba unaleta athari katika jamii zetu, lakini dini ambazo kwakweli zinaleta athari kubwa kuliko ukabila, tunazikumbatia na kuzitetea kwa nguvu zote, wakati hao wenyewe huko nje wameshazitupa pembeni kutokana na kujua kwamba hazina faida katika maisha ya sasa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
u-DC unanukia!
Kwamba hospitali wanatibiwa bure[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]kwann asifanye tafiti zake kabla hajaongea.
Tozo sio shida lakini kwann wanaendelea kununua mav8 ya 500M kwann hawabani matumizi? Izo b558 za kununua magari,maintenance kwann wasipunguze iy9 budget hela wazipeleke kwenye mahitaji ya msingi...na ndio mana watu tunazikataa kwasababu hatuoni sababu ya msingi kubanwa alafu wao wakubwa hawajibanj
 
Duniani hamna hospitali mwananchi anatibiwa bure labda nchi za kisoshalisti kama Cuba na North Korea! Lazma matibabu kuchangiwa iwe kwa bima ama malipo ya moja kwa moja!
 
Back
Top Bottom