Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahio.. (implication yake ni kuwa).. hata yeye waziri anaona saiz nchi haiendi

Huyu jamaa ni msomi mzuri tu, lakini nae ni mchumia tumbo, yupo hapo kutetea upumbavu.. kwani magufuli si aliongoza hii nchi mwaka mmoja tu uliopita na nchi haikua na tozo, yeye aliwezaje .? Na mbona kipindi hakukua na tozo tuliona miradi mipya ikianzishwa kila kukicha while kipindi hiki cha tozo hakuna miradi mipya ni maneno tu.? Hizo hela za tozo wanapeleka wapi.?
 
kinachosekana saiz ni maono.. au vision ya uongozi hasa kwa top leader. Kwenye biashara, mbeba maono akitoweka, biashara nyingi zinatetereka au zitatumia nguvu sana kujikwamua.. ndo hali ilivyo saiz kwenye uongozi wa sasa 😅
 
Akulinde Molah, Akulinde Tanzania yetu. 🎶🎶
tanzania-flag.jpg
 
kinachosekana saiz ni maono.. au vision ya uongozi hasa kwa top leader. Kwenye biashara, mbeba maono akitoweka, biashara nyingi zinatetereka au zitatumia nguvu sana kujikwamua.. ndo hali ilivyo saiz kwenye uongozi wa sasa 😅
Siku nikija kupata uongoz hapa bongo lazima nitawawajibisha hawa dynasties wote.. 😠
 
Huyu jamaa ni msomi mzuri tu, lakini nae ni mchumia tumbo, yupo hapo kutetea upumbavu.. kwani magufuli si aliongoza hii nchi mwaka mmoja tu uliopita na nchi haikua na tozo, yeye aliwezaje .? Na mbona kipindi hakukua na tozo tuliona miradi mipya ikianzishwa kila kukicha while kipindi hiki cha tozo hakuna miradi mipya ni maneno tu.? Hizo hela za tozo wanapeleka wapi.?
Acha kuropoka mambo ya kijinga,kwani Magufuli ndio reference ya Uongozi?

Waziri yuko clear na katoa mifano clear na moja ya mifano ni kwamba mahitaji yanaongezeka huwezi bakia na level zile zile,mfano mwaka mmja unaosema wewe watoto waliomaliza shule na kuanza form one wikiwa 400k na Mwaka huu walioanza ni zaidi ya 900k?

Kwa muktadha huo bajeti ya Kwa Magufuli ingeendelea vile vile? Hivyo hivyo kwenye mahitaji ya mikopo ya wanafunzi wa Vyuo vikuu nk nk..

Mwisho hoja kuu ambayo imekuwa ikiongelewa na ambayo na mimi ndio hoja yangu ni hivi Vijijini kuna mahitaji makubwa ya huduma za Kiuchumi na kijamii kuliko mjini,kama Mwendazake Ali ignore haiwezekani na Samia aka ignore..

Mara ngapi ulikuwa unasikia kilio cha barabara za TARURA Vijijini kutoka kwa Wabunge?? Leo hii baada ya tozo umesikia kipo? The same kwenye maji..

Mnaropoka mambo bila ku reason,saizi serikali imeenda kuinua kilimo Mazao utasafirishia Nini kama hakuna barabara zinazopitika? Majitu ya mjini nyie ni hovyo sana.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220901-151816.png
    Screenshot_20220901-151816.png
    94.1 KB · Views: 22
Hii itakuwa game changer ya biashara ya dhahabu Tanzania 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220901-185605.png
    Screenshot_20220901-185605.png
    125 KB · Views: 23
Baada ya unga wa kampeni kuisha, Kunyaland waanza kuona moto wa inflation 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220901-185702.png
    Screenshot_20220901-185702.png
    148.9 KB · Views: 22
US hata mm naipenda na huwa sipendi kuona China inakaa juu ya US interms of infrastructures but facts hazipingwi mzee, hata wewe mwenyewe tukikuomba ulete infrastructures za US tulinganishe na China lazima utasanda, na ulishawahi kujaribu huko nyuma ukasanda kmy kmy mzee.
Sikuwahi kusanda,the issue is US ilishafanya mambo kitambo...China ndio anaibukia,China haiwezi hata Japan ndio iwe US
 
Sikuwahi kusanda,the issue is US ilishafanya mambo kitambo...China ndio anaibukia,China haiwezi hata Japan ndio iwe US
Ni uongo bhana, China inafanya vitu vikubwa ambavyo US haijawahi kufanya na haitaweza kuja kufanya.. hilo lipo wazi wala halina mpinzani
 
Ni moja ya kazi zangu 😅😅🤣
Hio screenshot yake yenyew ndo ilikuwa hii.. nikasema huyu ipo siku atajileta mwenyew tu.. angalia profile pic hapo juu kushoto
View attachment 2342358
🤣🤣🤣 Mtu mzima alafu analetaga hoja za kisenge ,🤣🤣🤣 Dah.! Hongera kaka kwa kutuonyesha zamwa letu humu ndani
 
Back
Top Bottom