Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, hawa wakenya usiwatetee kwa lolote sio watu wazuri hata kidogo, Lissu yupo Belgium lakini wanamuamini na kutumia maneno yake kuikandamiza na kuipinga Tanzania, vipi unasema kwamba Miguna yupo Canada hawezi kujua kinachoendelea Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ninachotetea ni kuwaingiza TISS kwenye mambo ya kijinga ya uchonganishi. Hivi kweli taasisi nyeti inayolinda usalama wa Taifa na raia wake kwamba iko Kenya inaratibu mchakato wa kuiba kura nisimame mbele na kupongeza kwamba ni sahihi kweli mkuu wangu?

Kama ningeambiwa ni CCM wanamsupport mgombea fulani ningeona kidogo ni sawa maana wote ni wanasiasa lakini TISS, JWTZ na POLISI wapo kwenye nchi ya watu,raia wa hiyo nchi wanaitafsiri vipi, je wakiamini wakalipa kisasi tutakuwa tumejipostion vipi.

Chuki na fitina zozote kwenye nchi yetu tuzipinge kwa hoja na kutanguliza Uzalendo mbele hasa zile zinazogusa na kuhatarisha Usalama wa Taifa.

Hivi mkuu unajua siyo kila taarifa ni habari sahihi, na siyo kila ukweli unaoujua ni lazima uuseme hadharani, vitu vingine tupige kimya huu ndio Uzalendo kwa nchi yetu.
 
JK yuko pale strategically kama mkuu wa EAC observers sasa atokee kichaa abishie matokeo hakuna rangi ataacha kuona hapa EAC.
Watanzania hii inferiority complex itawaondoka lini? Unajua huu uchaguzi iko na observers wangapi?
 
Ninachotetea ni kuwaingiza TISS kwenye mambo ya kijinga ya uchonganishi. Hivi kweli taasisi nyeti inayolinda usalama wa Taifa na raia wake kwamba iko Kenya inaratibu mchakato wa kuiba kura nisimame mbele na kupongeza kwamba ni sahihi kweli mkuu wangu?

Kama ningeambiwa ni CCM wanamsupport mgombea fulani ningeona kidogo ni sawa maana wote ni wanasiasa lakini TISS, JWTZ na POLISI wapo kwenye nchi ya watu,raia wa hiyo nchi wanaitafsiri vipi, je wakiamini wakalipa kisasi tutakuwa tumejipostion vipi.

Chuki na fitina zozote kwenye nchi yetu tuzipinge kwa hoja na kutanguliza Uzalendo mbele hasa zile zinazogusa na kuhatarisha Usalama wa Taifa.

Hivi mkuu unajua siyo kila taarifa ni habari sahihi, na siyo kila ukweli unaoujua ni lazima uuseme hadharani, vitu vingine tupige kimya huu ndio Uzalendo kwa nchi yetu.
Umeongea vizuri sana ila wengi hapa umewapigia tu guitar.
 
But umeona hiyo rate ya verification iko very slow in three days they have already verified 50 out of 290 centres.
Maybe according to you iko slow but it's a continuous proces going on day and night. So far, they've verified 180 constituencies. 110 to go
 
Mimi sijawahi kumuamini Lissu.
Me neither. Watu wengi wanaokimbia nchi zao halafu wanaanza kuzipondea si watu wa kuwaamini hata kidogo. Kama wana uchungu na wako tayari kutetea kwanini wasibaki na sisi tutetee kwa pamoja?
 
Security iko tight. Hao vijana waliovalia magwanda ya green ni wa kikosi gani?

👇 👇
1660476001571.png
 
Ni swali zuri. Sina uhakika kama alikuwa anafanyia hapo au ilikuwa ni baadhi ya Ofisi za Wizara ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.

Maana hilo jengo lilitumika na watu wa Wizara ya Nishati na Madini kabla hazijatenganishwa.

So nisidanganye hapa before ofisi yake ilikuwa wapi sijui. Uwenda alikuwa na ofisi nyingine maana ukiangalia ofisi ya PM ni nzuri na ya hadhi kuliko hilo jengo.
I like honest people like you. Sio watu waliojaza ubishi kwenye ndimi zao
 
System yoyote lazima iwe automatically, ni kama supermarket kuna POS outlet nyingi zote zinaupdate transactions , lakini ukitaka kujua tu total sales immediately unaenda print report you will see everything, sasa nyinyi wakunya mnasema data input(uploading result from polling stations ) inafanywa straight to IEBC central system. Sasa ugumu huko wapi wa kutangaza matokeo? Au bado mna upload matokeo hadi leo?
 
Utaruhusu je results zirushwe hewani kama hazijawa verified?
Wakikuta kuna kasoro who is to blame, media or IEBC
In my opinion it's just about being open and free. Kwamba kila kitu kipo wazi na kwamba hakuna fichefiche
 
But when Lisu, Baba Levo, Halima Mdee, Maria Sarungi and others give their opinions you take them seriously

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Baba Levo aliongea from experience na ingewezekana angeweka picha au video ya vile vitu Alina Kenya. If you ask Miguna to provide evidence of his claims will he? This guy is simply bitter because of his deportation. A person who spends the whole time hurling insults at the head of state in social media shouldn't be taken seriously. Yake ni mauchungu, nothing else
 
Watu wote hasa wanasiasa wanaokosa uongozi halafu wakakimbilia nje ya nchi na kuanza kuzinanga serikali zao si wa kuwaamini maana wakipewa chances tena wanaanza kula matapishi yao.

Huyo Miguna ana hasira na serikali yake kwahiyo nafasi aliyonayo ni kuchonganisha serikali zote 2,hivi kikiumana ndg zake wote atakuwa nao huko Canada?

Wakuu mambo mengine tujadili kama watu wazima tuangalie future na siyo mahali hapa tulipo, wakati mwingine mawazo yetu yanajenga baada ya kufanyiwa kazi mbali na utani wetu hapa.

Kenya ipo kwenye kipindi cha uchaguzi lazima wawe macho pamoja na sisi majirani zao, tulianza kwa kuwaambia wawe makini wasiharibu amani yao kisa uchaguzi, tukawaombea na kuwatakia amani.

Sasa leo anatokea mtu mmoja na kuanza kueneza chuki kwamba Tanzania imetuma maafisa wake Kenya kufake matokea tufurahie kweli? Hii si sawa kwa mtazamo wangu.

Amani, amani nawatakieni nyote.
 
Miguna ni kitu mbaya. Kijamaa kina mdomo kubwa sana hata kushinda ya mwanamke. Throwback
 
Miguna ni kitu mbaya. Kijamaa kina mdomo kubwa sana hata kushinda ya mwanamke. Throwback

😆😆😆 amedai eti esther passaris, angeenda sex holiday seychelles.. yani angeenda seychelles, mkuntjo, yani kupigwa tu miti na kurudi🍆🍑 1😋🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom