Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Huyu mmarekani naye aende huko na huo upuuzi wake. Yaani anashauri Afrika iwe na mfumo wa kupiga kura kwa misingi ya ukabila?
Kenya ni masikini wa kutupwa, mtaendelea kupokea food donations for the next 50 yrs
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Embu na wewe leta picha ya VP office Kenya tuione hapa tafadhaliKubali hana ofisi. Hizo mipicha mnaleta hapa hazitaondoa huo ukweli. Leta picha ya hizo nyumba na maandishi zinazoonyesha hizo ni ofisi za VP wenu
Tony 254 huyo nicxie anajifurahisha tuu ofisi ya VP iko next to state house 6 Albert Luthuli road, State house ni 1 Albert Luthuli road zote ziko kivukoni opposite to each other. Hilo jengo analolazimisha kuwa ni VPO liko Sokoine drive Posta ya zamani. Kama una busara tafuta address ya VPO Dar Es Salaam utaona address yake.Lakini Nicxie kama ni kweli kwamba hilo ndilo ofisi wa makamu wa rais wao basi wameboronga vibaya sana. Yaani liofisi limeoza utadhani ni jengo lililojengwa enzi za world war 1. Mpaka jengo limebadilisha rangi limekuwa brown kwa sababu ya kutu.
Wewe kwa akili yako unafikiri LNG ni sawa na kuchimba viazi.Dunia nzima inatafuta LNG na inakosa kabisa kumbe wajinga fulani wana LNG kwenye ardhi yao ila wamelala usingizi. Mngetengeneza billions of dollars ikiwa mngekuwa na akili ila hamna. Gas ingewaletea pesa nyingi sana wakati huu ambao kuna uhaba mkubwa wa gas duniani.
Bilateral agreement on securityNinachotetea ni kuwaingiza TISS kwenye mambo ya kijinga ya uchonganishi. Hivi kweli taasisi nyeti inayolinda usalama wa Taifa na raia wake kwamba iko Kenya inaratibu mchakato wa kuiba kura nisimame mbele na kupongeza kwamba ni sahihi kweli mkuu wangu?
Kama ningeambiwa ni CCM wanamsupport mgombea fulani ningeona kidogo ni sawa maana wote ni wanasiasa lakini TISS, JWTZ na POLISI wapo kwenye nchi ya watu,raia wa hiyo nchi wanaitafsiri vipi, je wakiamini wakalipa kisasi tutakuwa tumejipostion vipi.
Chuki na fitina zozote kwenye nchi yetu tuzipinge kwa hoja na kutanguliza Uzalendo mbele hasa zile zinazogusa na kuhatarisha Usalama wa Taifa.
Hivi mkuu unajua siyo kila taarifa ni habari sahihi, na siyo kila ukweli unaoujua ni lazima uuseme hadharani, vitu vingine tupige kimya huu ndio Uzalendo kwa nchi yetu.

Kwani hujawahi kuona observers wakitofautiana kwenye election report?Watanzania hii inferiority complex itawaondoka lini? Unajua huu uchaguzi iko na observers wangapi?
How long it took to verify 180 constituents and how long will it take to verify the remaining 110 based on earlier experience.Maybe according to you iko slow but it's a continuous proces going on day and night. So far, they've verified 180 constituencies. 110 to go
Nyie hamjawahi hata kupalazwa na risasi mnaongea tuu ali mradi.Me neither. Watu wengi wanaokimbia nchi zao halafu wanaanza kuzipondea si watu wa kuwaamini hata kidogo. Kama wana uchungu na wako tayari kutetea kwanini wasibaki na sisi tutetee kwa pamoja?
Bora hata hao ni viongozi lakini Baba Levo ni chawa.Nyinyi mnajua hadi majina za governors wetu and their deputies. Hata wabunge mnajua Karibu nusu yao![]()
Kapotea kimiujiza.Kwani baada ya kumtumia hii, huyu dopchinski asemaje?
Dunia nzima inatafuta LNG na inakosa kabisa kumbe wajinga fulani wana LNG kwenye ardhi yao ila wamelala usingizi. Mngetengeneza billions of dollars ikiwa mngekuwa na akili ila hamna. Gas ingewaletea pesa nyingi sana wakati huu ambao kuna uhaba mkubwa wa gas duniani.
Anakula bata tuuinaitwa mkunjo!. mtu wangu... Esther Passaris and Mike Sonko in Seychelles
View attachment 2323752View attachment 2323753View attachment 2323754



wewe ni mpumbavu kutoona hiyo picha ya Seychelles ni photoshop?inaitwa mkunjoo! mtu wangu... Esther Passaris and Mike Sonko in Seychelles 🤣🤣
View attachment 2323752View attachment 2323753View attachment 2323754
Amekuchanganya na yule mdau mwingine kule juu aliyesema analiaibisha Taifa kwa kukosea English.Hahah mkuu mi sijawahi kumkosoa mtu yeyote hpa kwenye swala la lugha labda kama umeniquote vibaya..



Mpaka kupalazwa na risasi kuna chanzo chake, ukiambiwa njia zako si sahihi saa nyingine unanyamaza. Yaliyomtokea nampa pole arekebishe arudi nyumbani kumenoga.Nyie hamjawahi hata kupalazwa na risasi mnaongea tuu ali mradi.
utajua haujui.. yaani.. u ll knw u don't knw🤣🤣wewe ni mpumbavu kutoona hiyo picha ya Seychelles ni photoshop?