Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jengo liko Dar hayo mengine yapo Dodoma ambapo serikali ndipo imehamia. Kuandikwa siyo shida, je jengo linatumika?
Kabla ya serikali kuhamia Dodoma ofisi ya VP wenu ilikuwa wapi?
 
So far nimeonyeshwa majengo matatu tofauti na kila mmoja anasema alichopst ndio ofisi ya VP. Sasa ukweli iko wapi?
Yote hayo uliyooneshwa ni ofisi ya makamu wa rais usipagawe jombaa, sisi ndiyo zetu kuwa na ofisi nyingi nyingi za aina moja. Hata Ikulu tunazo za kutosha tena kubwa kubwa.
 
Unataka evidence gani zaidi ya picha ya lile gofu niliopost hapa?

And please stop beating around the bush. Hizi ni ofisi za machifu huku kwetu na zote zimeandikwa office of the president. View attachment 2322789View attachment 2322790View attachment 2322791

Lakini sisi sote tunajua ofisi ya Rais wa Kenya ndio hii hapa View attachment 2322796

Nyinyi mnaleta vipicha na kusema ndio ofisi ya VP wenu bila ushahidi wowote kisha mnaanza vijimaneno!
Hata sisi tunajua ofisi ya makamu wa raisi Tanzania ni hii hapa kwa Dar es Salaam na dodoma inajengwa kubwa kuliko.
Screenshot_20220813-004742_Opera.jpg
 
CgcE3

Yani mnajua hadi majina ya mawaziri wetu wakati mimi hapa sijui hata moja huko kwenu!
So interesting!
Sasa kama hujui si ujinga wako, mtu anayekulisha itakuwaje usijue watu wake? Sisi ni lazima tuwajue mpk chupi zenu mana tunawatawala kijamii, kisiasa na kiuchumi
 
Bongolala, a country where ballot boxes get lost in an election has no moral authority to talk about the election in another country!

Eti mobilize voters? If you couldn't mobilize your security agents to secure your voting materials sasa huo uwezo wa kufanya mobilization Kenya mtatoa wapi? Stop dreaming
Huku tuna uzoefu wa kuweka mtu tunayemtaka bila kujali umaarufu wake kwenye kura na ndio maana mmeomba msaada tuwasaidie kumweka mtu serikali inayomtaka ambaye na sisi tunaweza fanya nae kazi.
 
That's an observer bongolala. An election lazima iwe na observers and that's the norm worldwide. These observers come from different parts of the world. Ama ile sarakasi yenu ya 2020 hamkuona international observers from different countries?

Elimika ndugu uache ujinga na mihemko
Unamjua Jecha ama unamsikia tuu kwenye bomba? Jecha awe observer
 
The law says it must be out within 7 days so latest ni Tuesday next week. Hata uchaguzi wa 2017 hizo taratibu zote nilizosema zilifuatwa and they still delivered the results in less than 7 days
But umeona hiyo rate ya verification iko very slow in three days they have already verified 50 out of 290 centres.
 
Hapa EA Tz ndio inaamua siasa za nchi zote ukanda huu, hakuna Tz hakuna EAC, hakuna Tz hakuna amani EA, hapo unaona kdg kumetulia kwasababu Kenya kwa sasa ipo chini ya uangalizi wa Tz.
Kenya inapokuja kwenye uchaguzi lazima awe karibu na Tanzania maana mtu yeyote atakayegomea matokeo akipata support ya Tanzania Kenya haitatawalika hivyo lazima waje waombe ushauri Tz na sisi tuwa guarantee support. Na hata kama wewe ni mwanasiasa unataka kukinukisha Kenya lazima base utaweka Tanzania sio Uganda Ethiopia wala Somalia hence Tanzania is of strategic geopolitical importance to EA countries.
 
Sasa mbona mumekatisha kurusha" live" matokeo ya kura za urais?, Mnakumbuka ilivyokua katika uchaguzi wa 2007 hadi kukatokea machafuka ya kuchinjana?, Kosa lile lile ndio mnalirudia tena


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Vyombo vya habari vikipewa uhuru uliopitiliza ni rahisi kupotosha kwasababu vinaacha kufanya kazi kwa uweledi na kuongozwa na mahaba. Lazima vipo ambavyo vinampenda mgombea fulani huku vikimchukia mwingine.

Serikali iwe macho sana hapa asije akapenyeza chapaa na kupewa air time zaidi kwa kuuaminisha umma kwamba huyu ndiye aliyeshinda kumbe sivyo.

Kama tume ipo na ni huru iachiwe kazi ya kutangaza matokeo na siyo media house.
 
So far nimeonyeshwa majengo matatu tofauti na kila mmoja anasema alichopst ndio ofisi ya VP. Sasa ukweli iko wapi?
Iko ofisi ya makamu wa Raisi Dar es salaam picha nimekuonesha, iko pia temporary office Dodoma na iko office permanent under construction.
 
Back
Top Bottom