chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,308
- 45,102
Tulia wewe ngoja tuwatafutie mtawala, it's a week now 😁😁😁this tyme round, your evil prayers u pipo, will never come to pass.. ishindwe!
Tulia wewe ngoja tuwatafutie mtawala, it's a week now 😁😁😁this tyme round, your evil prayers u pipo, will never come to pass.. ishindwe!
Mpo nje sababu maisha yenu kunyaland ni mabovu na magumu ndio maana mpo tayari kutupwa Mediterranean sea ili tu mkawe manamba ulaya, watanzania hayo maisha hatunaNyie lazy people tabia yenu ya kuidharau Kiingereza niko sure kumeathiri gdp yenu kwa kiasi kikubwa. Kama mngejua Kiingereza kwa mfano, mngekuwa na diaspora population kubwa ambao wangekuwa wanatuma remittance kwa wingi nyumbani. Pili, mngeweza kufanya kazi kokote duniani kama vile unapata Wakenya wapo Namibia na Botswana wanafanya kazi na lugha ya mazungumzo ni kiingereza. Sasa wewe na kiingereza chako kibovu cha ze ze ze na kujiuma ulimi utakosa fursa nyingi sana duniani.
Nimesoma tweet iliyoletwa hapa ,pamoja na kitu alichokuwa anajaribu kukileta kwenye jamii ya Kenya ili kuleta taharuki uzuri ni kwamba Wakenya wamempinga sana kwamba aache uzushi.kwani hujamuona miguna kule twitter?
![]()
Hawa jamaa hawheleweki uhuru anajaribu juu chini kupindua mezaKuna vitu viwili hapa.. kwanza, huo unga kupunguzwa bei ilikuwa gear ya kutaka Odinga kupewa kura. Sasa uchaguzi umeisha, na probably wameshaona matokeo kuwa hilo kundi lao (uhunye+odinga na huyo jamaa) limelose uchaguzi. Pili, in case kuna re-run, wategemee Odinga kupoteza kura zaid
HahahaTony 254 sisi hatuli GDP bali tunakula real food with mboga saba huku, diaspora ni vibarua tuu huko nchi za watu hatutaki shida hiyo maana huku tumejitosheleza kwa kila kitu we dont need remittances from abroad.
Mlisema mna technology kubwa sasa mbona mpaka leo siku ya 5 bado matokeo kanchi kenu kadogo na mnasema mnaongoza kwa miundombinu sasa nini kinawakwamisha?wananchi watulivu, this time round wacha leaders ndo wapigane vita zao, hatu bleed ndo walead
ults zishatoka but due to the constitution demands every foarm to be verified and thats whats going on if you visit iebc election portal the form 34c which is the results form is already uploaded but with access denied till they verify everything.... and the constitution says iebc has 7days to announce so they still on track they just want to make sure they do it thougher.Mlisema mna technology kubwa sasa mbona mpaka leo siku ya 5 bado matokeo kanchi kenu kadogo na mnasema mnaongoza kwa miundombinu sasa nini kinawakwamisha?
Did they just stopped TVs tallying agencies from working?res
ults zishatoka but due to the constitution demands every foarm to be verified and thats whats going on if you visit iebc election portal the form 34c which is the results form is already uploaded but with access denied till they verify everything.... and the constitution says iebc has 7days to announce so they still on track they just want to make sure they do it thougher.
We unavyoona kuna ghorofa la udongo hapo mpk upafananishe na ka Nairobimbona unaleta picha za nairobi masera wangu............. kwani una haya kuleta za kwenyu
View attachment 2323231






Watumwa na wasio na uhakika wa maisha nchini mwao ni lazima wajue lugha za watu ili wakatafute mia mbili mia tatu walete home lkn huwezi kusikia raia wa nchi zilizobarikiwa na Mungu mfano China, Italy, Sweden, Tanzania etc wakahangaikia lugha za watu mana fursa kwao zimejaa tele, zaidi zaidi wewe foreigner mwenye njaa itakuladhimu ujue lugha ya hizo nchi zilizobarikiwa ili upate mkate urudishe nyumbani.Nyie lazy people tabia yenu ya kuidharau Kiingereza niko sure kumeathiri gdp yenu kwa kiasi kikubwa. Kama mngejua Kiingereza kwa mfano, mngekuwa na diaspora population kubwa ambao wangekuwa wanatuma remittance kwa wingi nyumbani. Pili, mngeweza kufanya kazi kokote duniani kama vile unapata Wakenya wapo Namibia na Botswana wanafanya kazi na lugha ya mazungumzo ni kiingereza. Sasa wewe na kiingereza chako kibovu cha ze ze ze na kujiuma ulimi utakosa fursa nyingi sana duniani.
Safi sana.Na msipopigana nyinyi nao wataona aibu na kuitisha kikao wamelize soo kiungwana. Wanasiasa hutumia mtaji wa wananchi wajinga kufanikisha adhima yao.wananchi watulivu, this time round wacha leaders ndo wapigane vita zao, hatu bleed ndo walead
Mbona unatukana kabila nzima ya watu "mbwa"?
nope most stations have posted their results on their websites, the tv station stoped to allow iebc to be the one to break the news as per the constitution...... visit and see provinsional results 2022 Kenya General ElectionDid they just stopped TVs tallying agencies from working?
Sasa mbona Kenya wakikosea Kiswahili huwashangai?Kiswahili ni lugha yetu lazma tuilinde na kingereza ni muhimu Sana lazima tujifunze.
#Kingereza ndo kilifanya watu waseme shule ngumu..
Kuna uhusiano mkubwa wa kuzungumza kiingereza na kufa kwa njaa, tunaogopa tusiwe Kama wakenya wanaokufa kwa njaa kwasababu badala ya kujifunza mbinu za kuzalisha chakula, ninyi mnajifunza kiingereza ili muweze kueleweka vizuri mnapokwenda kuomba chakula kwa mabwana zenuNyie lazy people tabia yenu ya kuidharau Kiingereza niko sure kumeathiri gdp yenu kwa kiasi kikubwa. Kama mngejua Kiingereza kwa mfano, mngekuwa na diaspora population kubwa ambao wangekuwa wanatuma remittance kwa wingi nyumbani. Pili, mngeweza kufanya kazi kokote duniani kama vile unapata Wakenya wapo Namibia na Botswana wanafanya kazi na lugha ya mazungumzo ni kiingereza. Sasa wewe na kiingereza chako kibovu cha ze ze ze na kujiuma ulimi utakosa fursa nyingi sana duniani.