JK yuko pale strategically kama mkuu wa EAC observers sasa atokee kichaa abishie matokeo hakuna rangi ataacha kuona hapa EAC.Habari ndiyo hiyo, timu nzima ya Tz kwa sasa ipo Kenya kuamua Rais ni nani na nani anatufaa kufanya naye kazi.
JK yuko pale strategically kama mkuu wa EAC observers sasa atokee kichaa abishie matokeo hakuna rangi ataacha kuona hapa EAC.Habari ndiyo hiyo, timu nzima ya Tz kwa sasa ipo Kenya kuamua Rais ni nani na nani anatufaa kufanya naye kazi.
Nilikuwa sijakistukia hiki kilughaKwa kiswahili hiki na wewe unajiita mtanzania? Labda mtanzania wa machakos![]()



Na hii dhana huko mbeleni haina afya kuna ambao hawatakubali kuongozwa kifalme.Hahaha. Madikteta wa Africa. Lazima watrain wavulana wao kuwa wanajeshi. Kisha kuwapandisha ranks haraka ili kuwaridhi watakapoondoka mamlakani. Huyu Kagame naona anafuata mkondo wa Museveni. Huyu Kijana wa Kagame nakuhakikishia atakuwa full general ndani ya miaka 20 zijazo. Wakati huo Kagame atakuwa tayari kuretire na mtoto wake wakati huo atakuwa generali wa majeshi tayari kumridhi baba yake. Uganda na Rwanda naona wanaelekea katika kitu kinachoitwa Monarchy. Yaani uongozi kupitia damu na sio kura. Uongozi wa urithi au DNA ulishapitwa na wakati. Ni maoni yangu.
We kilaza hii ni mara ya mwisho nakujibu office ya vice president was next to state house DSM.Kabla ya serikali kuhamia Dodoma ofisi ya VP wenu ilikuwa wapi?
Hii ni kweli? Na kwanini aongee kwenye vyombo vya habari badala asichukue hatua na kuwakamata?Hehehe.
Hii ni kweli? Na kwanini aongee kwenye vyombo vya habari badala asichukue hatua na kuwakamata?
Wapi Samuel kivitwu?
Wakunya bado sana hakuna kitu cha kujifunza huko![]()
Ikulu address ni 1 Albert Luthuli Street na kwa VP office ni 6 Albert Luthuli Street hivyo utaona jinsi majengo yalivyo jirani maana yake VP yuko kwenye jengo la sita kutoka state house. Imebidi nikutafunie hivyo Nixie maana naona uko dull sana hapo juu.We kilaza hii ni mara ya mwisho nakujibu office ya vice president was next to state house DSM.View attachment 2322894View attachment 2322896View attachment 2322897
Kumbe lilishakarabatiwa kabisa na bado anabisha, ana ubishi wa kitoto sana.Ililetwa picha humu ya hili jengo likiwa limefanyiwa ukarabati na kupigwa rangi, sema shida ya huyo jamaa ni wivu wa kike tu.
Wacha uongo, ujerumani na Israel wanaunda coalition baada ya uchaguzi pale ambapo Chama kilichoshinda hakijapata viti vingi ili kuunda serikali. Kwa maneno mengine Kenya mnaunda coalition ili kutafuta kura wakati Ujerumani ni baada ya kuraOur politics has come of age. Coalitions are normal things in matured democracies. Vyama huunda coalitions pre-elections or post-elections. Kama unashangaa angalia jinsi Angela Markel alivyounda serikali yake Ujerumani. Nyinyi politics yenu bado iko nyuma sana so huwezielewa kitu
Why TV stations have different out come if 99% of the presidential results were out?. This is very dengarous if the Final results won't go the same direction to meet expectations of political divides as per their favorite TV station resultsBongolala, media houses were tallying forms 34A as they appear on the portal na ndio walikuwa wakionyesha matokeo zake kwenye runinga. By the time they stopped showing results, 99% of all forms 34A were already uploaded on the portal and tallied.
Kinachofanyika sasa ni verification of forms 34B by the IEBC. This is not the work of the media. Verification is strictly done by the IEBC and these forms (34B) are not uploaded on the portal. They are physically delivered to the commission by all the 290 Returning Officers for verification to ensure that it tallies with the figures captured in forms 34A as announced at the constituency level.
Once this is done, the commission announces provisional results of what each candidate scored per constituency.
At the moment, the commission has already verified results in 43 constituencies and announced provisional results as follows
![]()
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Umeelewa?
Ni swali zuri. Sina uhakika kama alikuwa anafanyia hapo au ilikuwa ni baadhi ya Ofisi za Wizara ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.Kabla ya serikali kuhamia Dodoma ofisi ya VP wenu ilikuwa wapi?
Nicxie jibu lako hilo hapo. Uliuliza kabla ya kuhamia Dodoma ilikuwa wapi.Hata sisi tunajua ofisi ya makamu wa raisi Tanzania ni hii hapakwa Dar es Salaam na dodoma inajengwa kubwa kuliko.View attachment 2322855
Jecha ana cheo gani kwani kwenye mambo yetu haya siasa(matokeo ya uchaguzi) mkuuUnamjua Jecha ama unamsikia tuu kwenye bomba? Jecha awe observer![]()



kisha mmezoea kudefend mandugu zenu wadhati, eti hawana njaa......!South Afrika wangapi wamekufa kwa njaa?, Lini wamepokea chakula cha msaada?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nini maoni yenu katika hili?Tunawatawala kimya kimya![]()
Aisee.Wangekuwa wapo kwa ajili ya Ruto wangekamatwa ila sasa Uhuru anafahamu uwepo wao so kuwakamata ni ngumu.
Kwenye ukanda huu nchi zote marais tumewaweka sisi madarakani ilikua kasoro kunyaland tu,this time tunawawekea rais na wao kumbafuKama ingekua vice versa kunyaland ingelipuka yote mpaka TV stations zao na Rais angetangaza state of emergency that kunyaland is control Tanzania's election
Ami yangu jecha anafanya yake kunyaland huko 😂Tayari tumeshamtuma Jecha huko siku nyingi tuu. View attachment 2322829
Kama hataelewa hapa basi tutamuacha aamini atakavyo.Ikulu address ni 1 Albert Luthuli Street na kwa VP office ni 6 Albert Luthuli Street hivyo utaona jinsi majengo yalivyo jirani maana yake VP yuko kwenye jengo la sita kutoka state house. Imebidi nikutafunie hivyo Nixie maana naona uko dull sana hapo juu.