Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesoma tweet iliyoletwa hapa ,pamoja na kitu alichokuwa anajaribu kukileta kwenye jamii ya Kenya ili kuleta taharuki uzuri ni kwamba Wakenya wamempinga sana kwamba aache uzushi.

Mtu mwenyewe yuko Canada anayajuaje ya Kenya?Kukitokea machafuko hayatamhusu wataangamia wengine wasiohusika.

Wakenya endeleeni kupuuza uvumi na uzushi wa wachumia tumbo, kuweni strong mpaka uchaguzi uishe na maisha yaendelee. Hata TISS wenyewe hawapo ni kuleta chuki tu kwa majirani zenu.
Mkuu, hawa wakenya usiwatetee kwa lolote sio watu wazuri hata kidogo, Lissu yupo Belgium lakini wanamuamini na kutumia maneno yake kuikandamiza na kuipinga Tanzania, vipi unasema kwamba Miguna yupo Canada hawezi kujua kinachoendelea Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
res

ults zishatoka but due to the constitution demands every foarm to be verified and thats whats going on if you visit iebc election portal the form 34c which is the results form is already uploaded but with access denied till they verify everything.... and the constitution says iebc has 7days to announce so they still on track they just want to make sure they do it thougher.
Wacha kutetea ujinga, nchi iliyo na technology kubwa, matokeo hutangazwa ndani ya siku 3, hiyo ya siku 7 ni kwa nchi za hovyo Kama Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unaleta mambo ya kabla wakati umewekewa picha za sasa kwamba ofisi za makamu wa rais zipo nyingi.
Kubali hana ofisi. Hizo mipicha mnaleta hapa hazitaondoa huo ukweli. Leta picha ya hizo nyumba na maandishi zinazoonyesha hizo ni ofisi za VP wenu
 
Huku tuna uzoefu wa kuweka mtu tunayemtaka bila kujali umaarufu wake kwenye kura na ndio maana mmeomba msaada tuwasaidie kumweka mtu serikali inayomtaka ambaye na sisi tunaweza fanya nae kazi.
Msaada ipi tumewaomba bongolala? Labda iwe ni ushauri wa jinsi ya kupotea na sanduku za kura
 
Kubali hana ofisi. Hizo mipicha mnaleta hapa hazitaondoa huo ukweli. Leta picha ya hizo nyumba na maandishi zinazoonyesha hizo ni ofisi za VP wenu
Haha Naona umewakaba kend*. Hawaondoki humu leo.
 
Which station has posted the results? Could you provide the link?
Fatilia Star newspaper
 
Unfortunately they stopped tallying because according to this link, they have counted 13.2 M votes out of 14.4 M. So it is still not possible to know who has won considering the fact that there are 1.2 million uncounted votes.
 
Miguna Miguna ameshakuambia nini Tanzania tunakifanya chini ya zulia kuhakikisha tunamuweka mtu tunayemtaka

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo hata mimi nikienda pale Twitter na niandike kitu kama hicho it becomes gospel truth? Wewe dwanzi tu

Eti Tanzania isaidie Kenya in matters IT?? 😂😂😂😂

Umesahau Kenya ndio hub ya information technology ukanda huu?
 
Wanaona aibu kukubali lile gofu ndio ofisi ya VP wao
Kwani Kuna ufahari gani kwa viongozi kuwa na ofisi ya kifahari wakati wananchi wa kawaida wanaishi Kibera hata hakuna vyoo na hawana maji?, Mimi nilitegemea utoe sifa kuona ofisi ya VP ni mbovu wakati masoko, bus terminals, na Hospital za Tanzania ni nzuri kuzidi Ikulu, badala yake unashangaa kuona ofisi ya VP ni mbaya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Kuna ufahari gani kwa viongozi kuwa na ofisi ya kifahari wakati wananchi wa kawaida wanaishi Kibera hata hakuna vyoo na hawana maji?, Mimi nilitegemea utoe sifa kuona ofisi ya VP ni mbovu wakati masoko, bus terminals, na Hospital za Tanzania ni nzuri kuzidi Ikulu, badala yake unashangaa kuona ofisi ya VP ni mbaya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Lakini Nicxie kama ni kweli kwamba hilo ndilo ofisi wa makamu wa rais wao basi wameboronga vibaya sana. Yaani liofisi limeoza utadhani ni jengo lililojengwa enzi za world war 1. Mpaka jengo limebadilisha rangi limekuwa brown kwa sababu ya kutu.
 
Kwa hivyo hata mimi nikienda pale Twitter na niandike kitu kama hicho it becomes gospel truth? Wewe dwanzi tu

Eti Tanzania isaidie Kenya in matters IT??

Umesahau Kenya ndio hub ya information technology ukanda huu?
Ila angesema Tundu Lissu au Maria Sarungi huko tweeter ungechukulia serious, sivyo?.

Kenya ni hub ya IT?, hakuna hata forum Moja Kenya inayofikia 50% ya JF, Leo ni siku ya 5 bado matokeo ya rais hayajatangazwa, IT Kenya ni kwa akili ya wizi wa pesa na kuiba kura, sio vinginevyo, tutaendelea kuwatawala katika maeneo yote ninyi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Kuna ufahari gani kwa viongozi kuwa na ofisi ya kifahari wakati wananchi wa kawaida wanaishi Kibera hata hakuna vyoo na hawana maji?, Mimi nilitegemea utoe sifa kuona ofisi ya VP ni mbovu wakati masoko, bus terminals, na Hospital za Tanzania ni nzuri kuzidi Ikulu, badala yake unashangaa kuona ofisi ya VP ni mbaya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha kutubeba ufala bongolala. Ni aibu makamu wenu wa Rais kufanya kazi ndani ya gofu Kama lile. Now that you've mentioned Kibera, mbona jiji lenu nayo imetekwa nyara na uswazi kila mahali. Kibera is just 2.5 square kilometers. Can you compare that with the sprawling uswazi hovels in your city?
 
Back
Top Bottom