Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo ni madai tu. Ubaya wako wewe huwa mwepesi wa kuamini propoganda zilizoganda.
Ila wakisema Tanzania inawakandamiza wamasai kule Ngorongoro inakua ni ukweli sio madai, Lissu akisema kitu dhidi ya Tanzania ni ukweli, ila Miguna akisema kitu dhidi ya Kenya ni madai

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Lakini Nicxie kama ni kweli kwamba hilo ndilo ofisi wa makamu wa rais wao basi wameboronga vibaya sana. Yaani liofisi limeoza utadhani ni jengo lililojengwa enzi za world war 1. Mpaka jengo limebadilisha rangi limekuwa brown kwa sababu ya kutu.
Vipi kuhusu masoko ya Tanzania?, Hospitali zetu, bus terminal zetu?, SGR yetu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ila wakisema Tanzania inawakandamiza wamasai kule Ngorongoro inakua ni ukweli sio madai, Lissu akisema kitu dhidi ya Tanzania ni ukweli, ila Miguna akisema kitu dhidi ya Kenya ni madai

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kulikuwa na video inaonyesha wazi jinsi polisi wenu waliokosa adabu walikuwa wanawamiminia marisasi Wamaasai. Hii sio propaganda kwa sababu kulikuwa na video inayoonyesha unyama waliofanyiwa Wamaasai. Hii ya Miguuna ni madai tu na hajaweka ushahidi wowote.
 
Ila angesema Tundu Lissu au Maria Sarungi huko tweeter ungechukulia serious, sivyo?.

Kenya ni hub ya IT?, hakuna hata forum Moja Kenya inayofikia 50% ya JF, Leo ni siku ya 5 bado matokeo ya raia hayajatangazwa, IT Kenya ni kwa akili ya wizi wa pesa na kuiba kura, sio vinginevyo, tutaendelea kuwatawala katika maeneo yote ninyi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bongolala, you are bitter for no good reason. Tanzania itoe nguvu wapi ya kutawala Kenya? Kwanza mtawale akili zenu zilizogandizwa na ujamaa.

Kenya is the hub of IT and this is a well documented fact that won't change however much noise you make from your dingy house in Vingunguti.

Kenya is a thriving tech scene and is home to some of the most cutting-edge start-ups on the continent. Kelele yako won't change that fact. Perhaps this article itakuondoa ujinga kidogo

I agree, there is a real possibility of a run-off. A run-off is not guaranteed but it is a real possibility. Wameachiana gap ndogo sana.
I don't think there will be a run-off. The Azimio camp yesterday talked with a lot of confidence at KICC.
 
Ni aibu kubwa kwa makamu wa rais wenu kuita choo kama kile kwamba ni ofisi yake.
Rais wa Kenya mpaka leo bado anaishi kwenye choo cha mkoloni, hilo mbona hulisemi. Karne hii ya 21 nchi imekosa pesa ya kumjengea rais makazi yake mpk anaishi kwenye choo cha mkoloni
 
Rais wa Kenya mpaka leo bado anaishi kwenye choo cha mkoloni, hilo mbona hulisemi. Karne hii ya 21 nchi imekosa pesa ya kumjengea rais makazi yake mpk anaishi kwenye choo cha mkoloni
Makamu wa rais wa Kenya anaishi Karen kwenye nyumba ya serikali iliyozinduliwa 2013.
 
Wacha uongo, ujerumani na Israel wanaunda coalition baada ya uchaguzi pale ambapo Chama kilichoshinda hakijapata viti vingi ili kuunda serikali. Kwa maneno mengine Kenya mnaunda coalition ili kutafuta kura wakati Ujerumani ni baada ya kura

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Did you understand what I wrote? The text you quoted I said very well that coalitions hundwa pre-elections or post-elections. Hiyo Kizungu rahisi haujaelewa?

In 2007, Kibaki and Kalonzo formed a post-election coalition government after Kibaki failed to secure enough numbers in parliament. Kalonzo was made the vice president thereafter. Now you understand what I mean nikisema our politics has matured?
 
Kulikuwa na video inaonyesha wazi jinsi polisi wenu waliokosa adabu walikuwa wanawamiminia marisasi Wamaasai. Hii sio propaganda kwa sababu kulikuwa na video inayoonyesha unyama waliofanyiwa Wamaasai. Hii ya Miguuna ni madai tu na hajaweka ushahidi wowote.
Kwahiyo serikali ilipokanusha na kusema kwamba hiyo video haukuwa ya Sasa hivi ilikua ya miaka ya nyuma kipíndi wanatolewa wavamizi waliokua wamevamia na kuishi katika hifadhi ya Loliondo mbona mnakataa?.

Kuhusu anayosema Miguna Miguna kuhusu kinachotokea Kenya, na anayoyasema Lissu kuhusu Tanzania, Kuna tofauti gani?, Mbona unamuamini Lissu lakini hutaki kumuamini Miguna?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Why TV stations have different out come if 99% of the presidential results were out?. This is very dengarous if the Final results won't go the same direction to meet expectations of political divides as per their favorite TV station results

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
It is so simple bongolala. Iko hivi; Kenya has a total of 290 constituencies. Presidential results from these constituencies were uploaded on the portal. Media houses were randomly picking constituencies to tally so how you expected them to have the same figures is baffling.

Let's say citizen started tallying constituencies from the coastal region and NTV started with western region, how are their tallies supposed to be same while tallying is still ongoing? It's common sense bongolala
 
Dunia nzima inatafuta LNG na inakosa kabisa kumbe wajinga fulani wana LNG kwenye ardhi yao ila wamelala usingizi. Mngetengeneza billions of dollars ikiwa mngekuwa na akili ila hamna. Gas ingewaletea pesa nyingi sana wakati huu ambao kuna uhaba mkubwa wa gas duniani.
 
Kwahiyo serikali ilipokanusha na kusema kwamba hiyo video haukuwa ya Sasa hivi ilikua ya miaka ya nyuma kipíndi wanatolewa wavamizi waliokua wamevamia na kuishi katika hifadhi ya Loliondo mbona mnakataa?.

Kuhusu anayosema Miguna Miguna kuhusu kinachotokea Kenya, na anayoyasema Lissu kuhusu Tanzania, Kuna tofauti gani?, Mbona unamuamini Lissu lakini hutaki kumuamini Miguna?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi sijawahi kumuamini Lissu.
 
Back
Top Bottom