Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kilaza sana. Yani maoni ya mtu binafsi unayeleta hapa and make it sound authentic? We Kenyans are used to Miguna's theatrics. He isn't new to controversy from way back
But when Lisu, Baba Levo, Halima Mdee, Maria Sarungi and others give their opinions you take them seriously

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
kisha mmezoea kudefend mandugu zenu wadhati, eti hawana njaa......!

hawana njaa kivipi, ilhali 35% of southafricans go hungry evryday.!?

heb check maneno

View attachment 2322918View attachment 2322919
Hivi hizi nchi zetu zina shida gani pamoja na uchumi wao mzuri lakini bado wana watu wenye njaa kiasi hiki?

Kwa kiasi fulani Tanzania tuko vizuri na viongozi wetu wanajitahidi sana katika suala la chakula.
 
kisha mmezoea kudefend mandugu zenu wadhati, eti hawana njaa......!

hawana njaa kivipi, ilhali 35% of southafricans go hungry evryday.!?

heb check maneno

View attachment 2322918View attachment 2322919

nb:
Southafrica is dryer than Kenya, hence hunger and drought should not come as a shocker!
View attachment 2322929View attachment 2322930
Tuonyeshe taarifa za vifo na misaada ya vyakula huko South Africa. Sasa mnajua ujinga wa GDP without economic inclusiveness

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe lilishakarabatiwa kabisa na bado anabisha, ana ubishi wa kitoto sana.
Huyo huwa ni mjinga sana, hilo jengo lilishakarabatiwa na picha iliwekwa humu lkn bado analeta picha ya kitambo ili kujifariji. Wao wangoje tuwaoneshe nguvu ya Tz, tunawawekea Rais tunayemtaka sisi this time
 
Tuonyeshe taarifa za vifo na misaada ya vyakula huko South Africa. Sasa mnajua ujinga wa GDP without economic inclusiveness

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
skia na uskilize vizuri.... sisi hatuyapokei msaada toka nje bure.! bali chakula tunavinunua.. kisa, kenya can easily contain its own challenges sababu hela tunazo. hicho nacho kieleweke vyema!☝🏽
 
skia na uskilize vizuri.... sisi hatuyapokei msaada toka nje bure.! bali tuna nunua vyakula.. kisa, kenya can easily contain its own challenges sababu hela tunayo. hicho kieleweke vyema!

Kenya ni masikini wa kutupwa, mtaendelea kupokea food donations for the next 50 yrs

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bongolala, media houses were tallying forms 34A as they appear on the portal na ndio walikuwa wakionyesha matokeo zake kwenye runinga. By the time they stopped showing results, 99% of all forms 34A were already uploaded on the portal and tallied.

Kinachofanyika sasa ni verification of forms 34B by the IEBC. This is not the work of the media. Verification is strictly done by the IEBC and these forms (34B) are not uploaded on the portal. They are physically delivered to the commission by all the 290 Returning Officers for verification to ensure that it tallies with the figures captured in forms 34A as announced at the constituency level.

Once this is done, the commission announces provisional results of what each candidate scored per constituency.

At the moment, the commission has already verified results in 43 constituencies and announced provisional results as follows

Umeelewa?
Utaruhusu je results zirushwe hewani kama hazijawa verified?
Wakikuta kuna kasoro who is to blame, media or IEBC
 
Kenya ni masikini wa kutupwa, mtaendelea kupokea food donations for the next 50 yrs

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tena hizi za food donations to Kenya zipo nyingi sana mkuu, licha ya sisi kuwalisha kwa chakula cha bei nafuu sawa na bure lkn bado wanaomba omba kila kukicha. Jamaa wanatuaibisha sn EA, ndio maana huwa nasema umefika muda wa kuwauzia chakula kwa bei ya juu kama alivyosema Magu, wazembe sn hawa watu.
 
Jecha ana cheo gani kwani kwenye mambo yetu haya siasa(matokeo ya uchaguzi) mkuu
Tumempeleka Kenya akasimanie uchaguzi
IMG-20220810-WA0007.jpg
 
Huyo huwa ni mjinga sana, hilo jengo lilishakarabatiwa na picha iliwekwa humu lkn bado analeta picha ya kitambo ili kujifariji. Wao wangoje tuwaoneshe nguvu ya Tz, tunawawekea Rais tunayemtaka sisi this time
 
Tungekuwa na uchumi hata nusu ya SA tungelisha Aftica yote.
Kabisa mkuu. Tuko vizuri sana na ni aibu kwa South Africa kuwa na tatizo la watu wasiokuwa na chakula pamoja na uchumi wao ulivyo mkubwa hapa Afrika.
 
Back
Top Bottom