Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

World Bank GDP data are out. Kenya has been overtaken by Ethiopia while Tanzania is still stuck at $67B.

Top 3 biggest economies in East Africa.

1. Ethiopia - $111B
2. Kenya - $110
3. Tanzania - $67B

Tony254, tuusan

Ukiangalia mkeka wao vizuri mwaka 2020 uchumi wetu ulikua $62.2B manake umeexpand vizuri ndani ya mwaka mmoja kufikia $67.7B...lakini hao hao Wb waliandika uchumi wetu kua $61B mwaka 2019 Yani 2019-2020 Uchumi wetu uliongezeka kwa $1B pekee ukilinganisha na 2020-2021 ulikua kwa $5B....nadhani Japo haifurahishi ila kwa kasi hiyo tunaweza expand zaidi ya hapo msimu ujao ukizingatia watalii wamechangamka na sekta zingine zinakua vizuri
 
South Africa haina mafuta na ndio maana nimelinganisha Tanzania na South Africa. South Africa wana shamba kubwa yenye rutuba na mvua ya kutosha kama Tanzania. South Africa wana madini ya aina zote kama dhahabu, Diamond na kadhalika kama tu Tanzania. South Africa pia wana mbuga za wanyama ambazo zinaleta watalii wengi kama tu Tanzania. In fact mbuga za Wanyama za Tanzania ziko much better than za South Africa kwa sababu huko South Africa hakuna wildebeast migration na hawana tallest mountain in Africa kama nyinyi.
SA ni nchi yenye viwanda vingi Africa na wanazalisha na kutumia umeme mwingi sana, ili tuweze kufika walau Nusu ya mahali wamefikia inabidi Serikali yetu ilegeze sana masharti ya uwekezaji kitu ambacho kinaweza sana kuathiri maslahi ya taifa kwa watz wazawa...yani muwekezaji apate 3/4 sisi tubake na 1/3 .Lakini tofauti na hapo basi tuendelee kuwekeza kwenye kilimo kilichoajiri watz wengi kiwe na tija,Tuboreshe zaidi elimu ili tuweze kua kwenye ushindani wa kibiashara na mataifa mengine.. Na tuendelee kufanya miradi ya moundombinu kwa bidii sana ili kuboresha mazingira ya biashara na huduma kwa watz
 
Una reason ya kitoto sana,kwa hiyo mnamkosa kupata huduma ya maji kwa sababu maji hayapandi mlima?


Kweli duniani kuna baadhi ya watu ni vituko
Hawa ni vituko the turkana basin iko 300m above sea level lower than areas around lake victoria maji yata flow tuu nicely wala hakuna gravity obstacle yoyote kama anavyozungumzia Tony they can supply maji to Marsabit, Wajir mpaka Mandera. Angalia altitude map ya kenya utaona nachozungumzia hapa hawa watu ni wavivu tuu ku initiate projects on their own mpaka waje mabeberu kuwafanyia. Ikitokea beberu akigoma kidogo tuu kenya haikaliki.
Screenshot_20220712-172845_Opera.jpg
Screenshot_20220712-172020_Opera.jpg
Screenshot_20220712-172329_Opera.jpg
 
Tony you are confusing these things. World Bank just released data for last year but IMF released projections for this year. Those are two different years. You have to wait for next year's data from WB to see if there's much variance between the two.
We jamaa nmekubali sana hii observation yako!!
 
Hawa ni vituko the turkana basin iko 300m above sea level lower than areas around lake victoria maji yata flow tuu nicely wala hakuna gravity obstacle yoyote kama anavyozungumzia Tony they can supply maji to Marsabit, Wajir mpaka Mandera. Angalia altitude map ya kenya utaona nachozungumzia hapa hawa watu ni wavivu tuu ku initiate projects on their own mpaka waje mabeberu kuwafanyia. Ikitokea beberu akigoma kidogo tuu kenya haikaliki.View attachment 2288087View attachment 2288088View attachment 2288090
Suala la maji ya lake victoria kufika turkana na maeneo mengine up north inategemea siasa za ukanda. Kuna upande mmoja utapinga kwa sababu zao.
 
That water is guarded by a treaty, the Nile Treaty. Secondly, it is a shared resource so Kenya does not have complete control over it unlike your minerals which are the property of Tanzanians and Tanzanians alone
Hio treaty ilishakufa kitambo, only egypt abides to it.
 
Vitu vya mda tu hivi
Mda utaongea
Can't you see the gap between Kenya and Tanzania keeps on widening yet you are here talking about time?. If the gap was narrowing then we could be talking about a matter of when.
 
For Kenyans this is more than enough, even if people are still going to beds hungry and majority can't afford two meals a day and 14M Kenyans are in need of food aid, it doesn't matter to you

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukiendelea hivi you will even deny that you were ever born. Sometimes it's good to sit down and ask yourself why is your country regressing as others move forward.
 
Back
Top Bottom