Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alafu ata si ushukuru Tanzania is very generous added you to the BID, tusingewapa hio chance lini mngehost leave alone qualify to AFCON itself? nchi ina ukame mpaka kuqualify AFCON mpaka upate msaada wa BID
Tanzania hanged on the coat of Kenya. Kenya is the main host.
 
Hao ni wenye wako vacation. Umeona omba omba mkenya hapo?😂😂🤣😂.

Differentiate between vacation and begging you idiot.
the last time wakenya wanaambiwa warudi kwao walikua wanalia sana, since suluhu aseme mrudi kwenu mmekua mnalia sana
 
Juzi tu mmeanza kuingia AFCON na bado hata mko na the worst loosing record. So nyamaza !… 😆😆
How many times has Tanzania qualified for AFCON and how many times has Goons republic even qualify to appear? CHAN yenyewe mliingia kwa sababu ya BID from tanzania lini mngecheza?
 

tumeshawaonyesha apa bado wamebaki na kelele 🤣 🤣 , kwanza nawaonea huruma maaana kama kuna mkenya ndan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 amna rangi ataacha kuona! Hao wengine hawana ata shida sana, wakijieleza vizuri things will work well but kama kuna mkenya ndan 🤣🤣 ajiandae kuita media maaana hawajuagii sehem ya kutumia akili na sehem ya kupayuka na zile forehead zao
 
Wether Bid or not, Kasarani was chosen ahead of Makwapa Stadium.
Choosen by WHO? are you sure you have any idea of what goes through Bidding? BTW kuna AFCON 2028 pia 🤣 🤣 na CHAN imebrandiwa kua African NAtions league lakini bado hamuonekani kwenye ushiriki 🤣🤣
 
Back
Top Bottom