Nimeona, lakini bado haithibitishi kwamba Kenya pekee inazalisha chai ya $1B per year.
Kuhusu Mimi kupinga uwezo wenu wa kuzalisha chai yenye thamani kubwa, hapo sijawashambulia au lushawishi watu wengine waichukie Kenya, wakati ninyi wakenya huwa mnaongoza na kuwashawishi watu au nchi zingine zichukie Tanzania.
Ukweli hii tabia yenu ya kutupakazia na kujaribu kutuchafua mara kwa mara Kama mlivyofanya ktk kipindi cha Corona, lile la dada wa Nigeria kule Zanzibar na kule Ngorongoro, ndivyo chuki Kati ya Kenya na Tanzania inavyozidi kuongezeka.
Sikufichi na Wala sitaki kuwa mnafiki katika hili, kutokana na vitendo vyenu vya lutukandamiza na kutaka kutudhalilisha kila kunapotokea tatizo huku Tanzania, chuki dhidi ya Kenya imeongezeka Sana, ombi langu kubwa kwa Sasa ni kuona mnachinjana katika uchaguzi unaokuja
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app