Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Usimpotoshe mwenzako ,katika wakenya ambao wapo straight Tony namba moja huwa anapiga pas kote kote kwenye kukosoa anakosoa pia kwenye sifa stahidi huwa anaongea.Do you know why Tanzanians like you? Is because you love cheating them and massaging their ego. Siku utaanza kuwaambia ukweli then you will be their enemy number one.
Hayupo kama wewe mwenye stress za mihemko,yaani kwaakili yako ilivyo fupi unadhani kuna mkenya anaweza mdanganya Mtz humu