Mu7 angekuwa na akili kama zako hata EACOP angeipitisha Kenya tatizo hamuaminiki, ka nchi kenu kana tatizo la kisiasa na ukabila so vita ni nje nje Kenya thus y hata majirani hawataki biashara na nyie, na ndiyo maana wanaona bora wazunguke waje Tz kuliko kuwa na biashara na failed state, pia usisahau train ya Tz ni ya umeme so mpk diesel train itoke Mombasa na kwichi kwichi zake mpk ifike ka Nairobi tayari joka la umeme from Dar port limeshafikisha mzigo Uganda with a speed of 160km/hr up to 180km/hr, na huko mbeleni tuta upgrade ifike speed ya 250km/hr cz specifications za SGR yetu zinaruhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]