Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes, every referral hospital in Kenya inafaa kua na Cancer Center. Huo mradi ushaanza kwa all level 6, all former provincial hospitals na some county hospitals.

kwa hiyo unabisha kwavile Kunyaland haina dedicated full fledged cancer center kama Muhimbili na ilivyo na Mloganzila! Si ndo maana nakuita Mpumbavu kujaribu ku-compare Ocean Road Cancer Institute in existence tangu 1996 to National Cancer Institute of Kenya ya 2012!
 
The best and most advanced Cancer Center in the region iko Kenya. The only IMIC in the region iko Kenya. So you are telling us nothing.

Imaging | IMIC Kenyatta University Hospital | KUTRRH – Quality  Patient-Centred Care
 
Sasa nani anayehesabu raia wa nchi Kama sio serikali, ulishasikia ni nchi gani WB na IMF wamekwenda kuhesabu watu?, Wao lazima wasubiri taarifa ya serikali kuhusu idadi ya watu ndio watumie katika hesabu zao, Sasa mbona wanapingana na M7 ambaye ndiye mwenye kujua idadi ya waganda?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
A very good question you've asked but one that imekufunga as well. In this very thread, ni mara ngapi watanzania wamesema kwamba ripoti ya sensa ya Kenya ni ya kupikwa, kwamba serikali ya Kenya haikutoa ripoti sahihi kuhusu sensa yake? Kama ni kweli serikali ndio inatoa data, iweje mnaletanga ripoti pingamizi za idadi ya watu haswa Kibera? If the government knows better, then why do you keep disputing these figures za serikali yetu?

It's true all IMF and WB data rely on figures provided by different governments across the world. If you know this then why do you keep disputing the same IMF and WB data that have been calculated using data provided by the governmet?
 
Kwahiyo mbona hata wewe unapinga ripoti ya serikali ya Uganda kuhusu idadi ya watu badala yake unalaumu watanzania wanaopinga ripoti ya serikali ya Kenya, tuanzie wapi?[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hio ni IMIC pekee, ambayo Tanzania na the whole region hakuna. Inapatikana Kenya pekee.
IMIC ni sehemu ndani ya Cancer Institute, hivi unajua tofauti ya haya maneno mawili kweli?, Jielimishe maana ya neno Institute kwanza. There is only one Cancer Institute in East and Central Africa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
A very good question you've asked but one that imekufunga as well. In this very thread, ni mara ngapi watanzania wamesema kwamba ripoti ya sensa ya Kenya ni ya kupikwa, kwamba serikali ya Kenya haikutoa ripoti sahihi kuhusu sensa yake? Kama ni kweli serikali ndio inatoa data, iweje mnaletanga ripoti pingamizi za idadi ya watu haswa Kibera? If the government knows better, then why do you keep disputing these figures za serikali yetu?

It's true all IMF and WB data rely on figures provided by different governments across the world. If you know this then why do you keep disputing the same IMF and WB data that have been calculated using data provided by the governmet?
Upumbavu wa hawa jamaa ni wa kiaina, hua wanajitoa ufahamu wazi wazi to win an argument, not to present a fact, wamejichokea kweli😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
True, wao bora wamewin argument, facts and realities come second
 
Back
Top Bottom