Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Nitajie mahali nimepinga hiyo ripoti. Unafikiri sisi ni kama nyie who deny anything and everything?Kwahiyo mbona hata wewe unapinga ripoti ya serikali ya Uganda kuhusu idadi ya watu badala yake unalaumu watanzania wanaopinga ripoti ya serikali ya Kenya, tuanzie wapi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
