Ukiwaambia kwamba census ya 2019 ilionyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 49 million pekee akina
chongchung coodip1 na
The best 007 huwa wanapinga vikali. Kwanza mmoja wao nadhani ilikuwa
chongchung alisema kwamba Wakenya tupo 57 million. Ukiwaambia wao wanazaana kama panya hawataki kusikia. Hii Uganda hata naona itakuja kupita population ya Kenya soon coz wao bado wanazaana kama panya. Fertility rate ya Uganda bado ipo juu ukiilinganisha na ya Kenya. Nchi masikini huwa zina fertility rate kubwa na nchi tajiri huwa zina fertility rate ndogo
Uganda = 4.82 births per woman. Tanzania= 4.83 births per woman (hatari sana). Kenya = 3.42 births per woman. Ukiwaambia wanazaana kama panya wanakasirika, wanaona kama unawatukana kumbe ni ukweli.
Uganda
View attachment 2284421
Tanzania
View attachment 2284422
Kenya
View attachment 2284423
Cc
tuusan
joto la jiwe