Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,619
- 15,712
.
Lakini the same WB ama IMF wakisema mmetoka ile kundi la LDC hapo mnakubaliana nao na kushangilia. Very interesting!World Bank hawahawa wanaojifanya wanajua idadi ya waganda kuliko serikali ya Uganda?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app


