tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ila Japanese wameendelea sana,Kua katika nchi 7 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani sio jambo dogojapan lazima achukiwe sababu ya yeye kuwa miongoni mwa vibaraka wa US kwa bara la ASIA
Ila Japanese wameendelea sana,Kua katika nchi 7 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani sio jambo dogojapan lazima achukiwe sababu ya yeye kuwa miongoni mwa vibaraka wa US kwa bara la ASIA
NiceThe HorseShoe Village
View attachment 2284584
Slums za Nairobi zipo sehemu specific bongolala and the biggest one measures just over 2.5 square kilometers unlike uswazi hovels zenu zilizotapakaa kila mahaliView attachment 2284600
Niione wivu nbo yenye wakazi zaidi ya mln wanaoishi kwenye slum!we jamaa wewe!!
Kila mtu ni wa hovyo huko - kimuonekano na kiroho.Well Kunyaland has had some of the ugliest Presidents ever! Aisee...!!
Mnakufa Kwa njaa what a shit country.Mpaka sasa hakuna mkenya amekufa kwa sababu ya siasa lakini kwa matanga ya mchoma vifaranga, watu 50 walikufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijitoe akili wewe nyang'au,unajisifia ujingaSlums za Nairobi zipo sehemu specific bongolala and the biggest one measures just over 2.5 square kilometers unlike uswazi hovels zenu zilizotapakaa kila mahali
Hiyo ni molecular imaging center, the first and only one public IMIC in the region.Iyo ndio hosp au jengo la mapokezi?
Kibera is just 2.5 square kilometers. Angalia hii pichaUsijitoe akili wewe nyang'au,unajisifia ujingaView attachment 2284626
Kuna kitu sielewi hapa. Are they constructing that lower section afresh or they are just adding a new layer on top of the existing one?
Wabongo wanadhani barabara zote Nairobi ni expressway. 🤣 🤣 🤣 Hawajazoea barabara za ghorofa huko kwao.Aliekuambia hio barabara ni ya mchina nnani