The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Haya ma flyover ya Chang'ombe na uhasibu tumepigwa, yanakaa low quality mno, utadhani tulijengewa kwa hisani. Sina uhakika sana na flyovers za uhasibu ila kwa sababu zinafanana na zile za Chang'ombe so nimezi include umo umo kwenye kundi la Chang'ombe coz zinafanana.


. Simple theory ya physics
