Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,074
- 17,792
Huyo Nairobi ishamchanganya! Ameona elevated road akadhani ni expressway 😂 😂Aliekuambia hio barabara ni ya mchina nnani
Huyo Nairobi ishamchanganya! Ameona elevated road akadhani ni expressway 😂 😂Aliekuambia hio barabara ni ya mchina nnani
Mnakufa njaa on daily basis na bado mnazaliana kama mbwa 😅😅😅Ukiwaambia kwamba census ya 2019 ilionyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 49 million pekee akina chongchung coodip1 na The best 007 huwa wanapinga vikali. Kwanza mmoja wao nadhani ilikuwa chongchung alisema kwamba Wakenya tupo 57 million. Ukiwaambia wao wanazaana kama panya hawataki kusikia. Hii Uganda hata naona itakuja kupita population ya Kenya soon coz wao bado wanazaana kama panya. Fertility rate ya Uganda bado ipo juu ukiilinganisha na ya Kenya. Nchi masikini huwa zina fertility rate kubwa na nchi tajiri huwa zina fertility rate ndogo
Uganda = 4.82 births per woman. Tanzania= 4.83 births per woman (hatari sana). Kenya = 3.42 births per woman. Ukiwaambia wanazaana kama panya wanakasirika, wanaona kama unawatukana kumbe ni ukweli.
Uganda
View attachment 2284421
Tanzania
View attachment 2284422
Kenya
View attachment 2284423
Cc tuusan
joto la jiwe
kuna kila kitu ya kudhibitisha, yaani ni yale yanayo onekana, siandiki tu ili nijifurahishe, la hasha.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji7]....umenifurahisha sana,umetoka kusema tunapinga hata kwa fact na realities,sasa angalia wewe ulichoandika???
Kuna mahali kwingi sana nairobi bado hawapajui vizuri.Huyo Nairobi ishamchanganya! Ameona elevated road akadhani ni expressway 😂 😂
Umeandika kwa maumivu sana 7seven 😂😂😂, hii laana haitasimama maana it's not coming from a pure heart, imesukumwa na wivu tu😂😂😂😂 wakenya hawatakufa kutokana na maneno yako ng'o 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , maneno yanayo toka kwa roho safi ndio yako na nguvu, hii yako ni empty cloud, no water😂😂Hayo maghorofa ya udongo unayaona lakini, mtakuja kuua watu kwa sifa za kijinga eti muonekana mnaishi angani [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi vitu hamjazoea.., eti mradi wa mchina, kwa vile umeona elavated road unadhani ni expressway, Baba Levo aliwaambia mngoje miaka 25 mbele kujilinganisha na Nairobi mkanuna, ona sasa inavyowachanganya 😂 😂 😂 😂Huo mradi si kipaumbele chetu kwa sasa,kwa akili yako ya kawaida iwapo tunahitaji huu mradi tukaongea na mchina kwa mkataba wa maana sio kama huo wa kwenu mliopigwa,unadhani mchina atakataa?
usipende kuropoka ropoka unaonekana haukielewi ,hiyo ndiyo kingaBecause you can't do a simple thing I asked you, wacha nikunyamazie. But don't force words into my mouth
japan lazima achukiwe sababu ya yeye kuwa miongoni mwa vibaraka wa US kwa bara la ASIAYaani kuna watu hawampendi na wanashangilia kuhusu kifo chake na walikua wanaomba afe tu, Kuna watu wanasemage tunachukana na Wakulungwa wa Kaskazini, Ukijua chuki zilizopo jati ya China na Japan utakaa pembeni [emoji1787]
zilo poa mkuu,mwenyewe nilizidharau ngoja zikamilike na brt pale wakiweka na taa utaona kulivyo bombaHeheheheeee nilipita kuna siku pale Chang'ombe kiukweli nilivyoiona tu nikajisemea hapa tumepigwa, sometimes ubora wa kitu unakiona kwa macho tu mana macho yetu ni kipimio kikubwa kuliko vya kitaalamu, anyway ngoja tuone huenda ni macho yangu tu mkuu.
Kumbe unabeepTuusan nmerekebisha. Tabia mbaya gani hizi unaongelea? Ebu niambie
Well Kunyaland has had some of the ugliest Presidents ever! Aisee...!!Wanechoka mno, njaa mbaya sana!
Mtu anakula ugali na majani (sukuma) ya kuchemsha na chumvi.😂
Ndio maana kukutana na Mkenya handsome ni nadra sana. Watu wapo wapo hata uweza tofautisha mwanamke from mwanaume - kila mtu anatisha!
View attachment 2284008
View attachment 2284009
View attachment 2284011
Nakubeep kabisaKumbe unabeep
Inferiority complexes zako peleka Tandale bongolala. Nimeweka picha kisha unakuja na povu na wivu zako hapa! Umeona nimetaja wapi Tanzania au Dar kwenye hiyo post?
Alafu ni mradi gani unaongelea wewe kilaza? Hiyo sio expressway kama hivyo ndivyo unavyodhani. Hiyo barabara ni outering road na ipo mbali sana na Nairobi expressway na wala haina mkataba wowote. Hii Nairobi itakuchanganya hadi ushangae na bado, ndio mwendo tumeanza!