Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jambo moja ambalo unapaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi hapo kenya,kwahyo lazima serikali ijioshee kwa wapiga kura kuwa imekusanya pesa nyingi sana na wakati ni utumbo mtupu😂😂....Namuona RAO akiapishwa soon,Politic is science
Tupatane next financial year ya 22/23 tuone kama collection za KRA zitakua chini ya ksh 2.03 trillion.
Kenya ilikua inaokota kodi za size ya Tanzania miaka kama kumi iliopita
 
Show yours
but this👇🏽 one is 10× better than
Screenshot_20220707-190631_Gallery.jpg

this Fuso over here👇🏽
Screenshot_20220707-182823_Chrome.jpg
 
Wajaluo kule Kenya ni maskini wa kutupa wengi wao naskia hawakuenda shule na ndiyo wapo wengi cjui ni kweli? Ila kwenye suala la umaskini wa wajaluo lipo wazi.
Inasikitisha sana. Hawa akina Omera wanatakiwa kuamka siyo kula tu kamongo.
 
Huyu mama ana pesa kichizi, Tony254 huyu mama anaweza kuinunua Nairobi anytime, nakumbuka kuna kipindi niliweka taarifa yake ukasema ni Muarabu 😅😅

Singlehandedly alisaini juzi kati joint ventures na major US company kuanzisha EPZ huko Kusini, actually ni mtu wa kusini kama surname yake ilivyo ila utajiri wake upo mpaka Lake Zone, hii ndio tofauti ya Tanzania na nchi yako, hatuna ukabila, mtanzania sehemu yoyote anatoboa

FRDm1LdXsAUW2t8.jpeg

Wajaluo kule Kenya ni maskini wa kutupa wengi wao naskia hawakuenda shule na ndiyo wapo wengi cjui ni kweli? Ila kwenye suala la umaskini wa wajaluo lipo wazi.
si niliwaambia nyinyi wabongo huaga mnatufuatiliza sana sisi kenyaland... najua hamtakubaliana nao, lakini huo ndo ukweli wa mambo. was it not for this thread, swear i bearly knew nothing bout' tanganyika
 
Huyu mama ana pesa kichizi, Tony254 huyu mama anaweza kuinunua Nairobi anytime, nakumbuka kuna kipindi niliweka taarifa yake ukasema ni Muarabu 😅😅

Singlehandedly alisaini juzi kati joint ventures na major US company kuanzisha EPZ huko Kusini, actually ni mtu wa kusini kama surname yake ilivyo ila utajiri wake upo mpaka Lake Zone, hii ndio tofauti ya Tanzania na nchi yako, hatuna ukabila, mtanzania sehemu yoyote anatoboa

View attachment 2283835

Inaonekana unamjua vizur kuwa ana hela balaa sana..hii mara ya pili unamzungumzia humu.. ebu nipe vionjo vyake😅
 
Huu ndio upuzi wa SGR ulikua unafanya tunanyamazishwa na wadanganyika? Hili litrain ni mzee na linapiga kelele za chuma sana.
Heri diesel SGR ya Kenya ×100
then ni ya abiria pekee, na wala haitobeba mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na zambia... ata tazara ni afadhali mara mia. recovering wht was injected will not be easy, ask Tony..
now this is wht i was telling u about.... this is wht is usually reffered to as the best example of an authentic white elephant pro....... i mean white elephant project ...... !!!
 
Forbes haijawahi kurate Vimal Shah kama dollar billionaire. Kenya haijawahi kuwa na dollar billionaire. Hio $1.6 billion au $2 billion ni mali ya Vimal Shah and family. Yaani wealth ya familia ya shah including baba yake Bhimji shah. Hii ni article ya 2013 na ipo very clear that hio family business ilikuwa worth $1.6 billion in 2013 na hawajasema wealth ya Vimal Shah mwenyewe. By the way just for your information, forbes ilishindwa kuvalue wealth ya Uhuru Kenyatta as a person kwa sababu hawajui Uhuru ana-own share ngapi ya family business. The Kenyatta family is very wealthy lakini ni impossible kujua Uhuru mwenyewe ana-own share ngapi ya hio family business. It is the same for Vimal Shah. It is also the same for the Bakhresa family in Tanzania. Soma hapa chini, wameandika vizuri sana "Vimal Shah and family". Hio sio mali ya Vimal pekee kama venye unasema.
Bakhresa hiyo ni Mali yake sio Mali ya familia, Kama alivyokua Mengi na Kirubi, ni Mali zao

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
then ni ya abiria pekee, na wala haitobeba mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na zambia... ata tazara ni afadhali mara mia. recovering wht was injected will not be easy, ask Tony..
now this is wht i was discussing with u about.... this is wht is usually reffered to as the best example of an authentic white elephant project
Danganyika SGR is doomed to fail, its just a matter of time.
There is no way somebody will convince me that there is huge cargo+passengers to warrant SGR train between this dusty town of morogoro to dar-is-a-slum
Screenshot_20220707-213823.jpg
 
Back
Top Bottom