Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

si niliwaambia nyinyi wabongo huaga mnatufuatiliza sana sisi kenyaland... najua wengine mtakana, lakini huo ndo ukweli wa mambo. was it not for this thread, swear i bearly knew nothing bout' tanganyika
Bado huna exposure ya kutosha
 
then ni ya abiria pekee, na wala haitobeba mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na zambia... ata tazara ni afadhali mara mia. recovering wht was injected will not be easy, ask Tony..
now this is wht i was discussing with u about.... this is wht is usually reffered to as the best example of an authentic white elephant project
Jidanganye tu kama haitabeba mizigo . Pole nadhani initial ulidhani ni impossible kwa Tanzania kujenga SGR na kua na treni za umeme
 
Wajaluo kule Kenya ni maskini wa kutupa wengi wao naskia hawakuenda shule na ndiyo wapo wengi cjui ni kweli? Ila kwenye suala la umaskini wa wajaluo lipo wazi.
Tom Mboya alipeleka alot of luos sana to the states with his airlft programme in the 60's akina Barack Obama senior
 
Kwa nauli hizo kuna watu watakua wanalisabotage hilo shirika kwa manufaa yao
Nmemuelewa ndinda kaelezea vizuri hii ni kwa ajili ya diploma na watu wenye mahitaji maalum . China wana masharti magumu hawatoi viza hovyo . Nadhani hiyo ni kwa ajili ya kucover operation cost. Kwa masharti hata ndege kujaa nadhani haitakiwi
 
Wakiwa humu sasa. Hehe utadhan wanakula zaid ya mara tatu kwa siku, angalien kwanza hizo afya zao

🤣🤣🤣


Wanechoka mno, njaa mbaya sana!

Mtu anakula ugali na majani (sukuma) ya kuchemsha na chumvi.😂

Ndio maana kukutana na Mkenya handsome ni nadra sana. Watu wapo wapo hata uweza tofautisha mwanamke from mwanaume - kila mtu anatisha!

1danielarapmoi-0402wk-4.jpg


Capture-1.jpg


0fgjhs3v6boen94fog.jpg
 
then ni ya abiria pekee, na wala haitobeba mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na zambia... ata tazara ni afadhali mara mia. recovering wht was injected will not be easy, ask Tony..
now this is wht i was discussing with u about.... this is wht is usually reffered to as the best example of an authentic white elephant project
Maumivu peleka kibera
 
Danganyika SGR is doomed to fail, its just a matter of time.
There is no way somebody will convince me that there is huge cargo+passengers to warrant SGR train between this dusty town of morogoro to dar-is-a-slum View attachment 2283909
Kwani sgr yetu inaishia Morogoro? Dude it goes all the way to Mwanza and Kigoma get your facts correct.
 
Jidanganye tu kama haitabeba mizigo . Pole nadhani initial ulidhani ni impossible kwa Tanzania kujenga SGR na kua na treni za umeme
Anakwenda akihamisha magoli kila siku. Hapo mwanzo alikuwa akisema sgr tz haitakaa ijengwe ilipoanza ujenzi akasema nioneshe 1cm ya rail alipoonyeshwa akakimbilia nioneshe treni kwenye hiyo reli alipoona akahamia haitakaa ibebe mizigo na sasa anaanza kuhamia kwenye number za abiria hii inamaanisha unapoanza kuongelea kuhusu abiria ni kielelezo kuwa umeshakubali mziki.
 
Lindi ,Moro na Tabora inaweza ikatoka mikoa mingine humo

I think kuivunja kuwa sub mikoa inaweza ika spur more development ..as administration inakuwa rahisi zaidi..plus focus kwenye mkoa inaongezeka..tho it needs cash
Kwa sheria zilizopo solution ndio hiyo tu, ila mikoa inaweza ikabaki na ukubwa wake na ikapewa budget kubwa na kuendelea pia! Yaani Mkoa unaweza kuwa na miji/majiji mengi! Chukulia mkoa wa Tanga; majiji/miji yaTanga, Handeni na Korogwe. Mkoa wa Shinyanga majiji/miji ya Kahama na Shinyanga yenyewe! Au mkoa wa Kigoma miji/majiji ya Ujiji, Uvinza, Kasulu!

Itapendeza zaidi na kuepusha migogoro, we angalia mikoa ya maziwa ilivyokatwa ovyo kwa misingi ya ukabila! Tusipokaa vizuri kila kabila litakuwa na kamkoa chake yaani mikoa 140, balkanization of Tanzania, chanzo cha migogoro! Fuatilia ziara ya mama kanda ya ziwa juzi.
 
Back
Top Bottom