Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daah uwa inaniuma sana kila nikitembelea kenya,uganda au south Sudan....utakuta wakikuyu,wanyankole au waganda wapo vizuri kweli kiuchumi lakini luo KE,walango,waacholi,jopadhola,jonam,hao wale wa jaluo kutoka gambella Ethiopia hali zao taabani kabisa
Pole sana. Ni kwamba hawana elimu au ni wavivu wa kufanya kazi?

Au both two above all together?
 
Wakiwa humu sasa. Hehe utadhan wanakula zaid ya mara tatu kwa siku, angalien kwanza hizo afya zao


Duh hawa jamaa huwa wanashida ya chakula sana mpaka inatia huruma huku kwetu naona Mungu ametujalia sana tusiwacheke jirani waje tuu wachukue chakula cha kutosha kila mtu apunguze makali ya maisha aisee.
 
Huyu mal*ya wa Fox News kule USA amepigwa vita na KOT. Hatawahi kutaja Kenya tena maishani mwake. Eti anadanganya kwamba pregnant women in Kenya cannot vote. Ilhali hapa Kenya wakati wa kupiga kura wanawake wenye mimba huwa wanawachiwa wavuke line.
Na mnavyopenda kusingizia wenzenu sasa kumbe mkisingiziwa nyie mnakuwa wakali hivyo
 
Nairobi - Guangzhou By KQ ni 5640 USD One way. Imezidi ATCL kwa 840 USD.
Ah wapi, yaani ni zaidi ya nusu millioni ya Kenya eti!! na haujaeleza kama ni return ama one way? $5640 in today's rate ni Kshs 665,520 (Tshs 13,310,400) yaani umetoa hii wapi?.., does it include hotel?., ni package gani?., ama ni zile quotes unaokota tu kwa google, kindly check with travel agencies to be sure..,
 
Kenyas collection of $2.031 trillion (Tsh 40 trillion) is almost twice Tanzanias Tsh 22 trillion collection for the financial year 21/22.
Usiulize kwa nini Kenya imeendelea kuliko Tanzania we spend 2× what Tanzania spends in one year. The compounding extra net spending for years has made Kenya more developed and have a higher gdp than Danganyika
View attachment 2283585
Rudi shule uka resit hesabu kwanza ndio uje hapa
 
Mtakomaa kutufahamuu



Machine inayokula Umeme, sio kuni

IMG_8570.jpg
 
Kenya sio nchi ya CCM (Chama Cha Mafala) inayotegemea propaganda ili iendelee kukaa madarakani, na pia KRA ni taasisi huru, peleka ujinga na hasira mbali, Jubilee ambayo ndiyo iko mamlakani haina mgombea urais., siasa ni Raila wa muungano wa Azimio na Ruto aliekosana na Uhuru., wacha porojo, mko na uchumi hafifu, wewe jiliwaze na Kibera na propaganda za mitandao na media uwache uongo, jipende mlivyo, haubadilishi ukweli
Siasa za kipuuzi sana ambazo zimetekwa na personalities badala ya misimamo na sera za chama.
 
Back
Top Bottom