Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
[emoji23][emoji23][emoji23]MBAGALAEbu kwanza tuambie ni nani wanakaa tandale, vingunguti , manzese, mbagala, kipawa etc
Source:Moiz
[emoji23][emoji23][emoji23]MBAGALAEbu kwanza tuambie ni nani wanakaa tandale, vingunguti , manzese, mbagala, kipawa etc
Makusanyo sio matumiziKenyas collection of $2.031 trillion (Tsh 40 trillion) is almost twice Tanzanias Tsh 22 trillion collection for the financial year 21/22.
Usiulize kwa nini Kenya imeendelea kuliko Tanzania we spend 2× what Tanzania spends in one year. The compounding extra net spending for years has made Kenya more developed and have a higher gdp than Danganyika
View attachment 2283585
Ni nyingi kwa mwaka husikaPesa otas!
Kenya's total revenue in Tshs is; Tshs 40.62T vs Tanzania's Tshs 21.4T The best 007 iko wapi GDP ya $150B? yaani economic output yake, it is impossible to collect such little money kwa GDP ya $150B mjukuu,[emoji37]😛 yaani Morocco ya GDP ya $133B collects $35B (Tshs. 69T).., Kenya GDP ya $107B collects Tshs 40.6T, Tanzania ya GDP $77B collects 21.4T hapo iko sahihi kabisa..,
View attachment 2283604
View attachment 2283542
VS
View attachment 2283545
Hujui kitu hiyo tz sgr supports 250km/hr lakini wao wameamua kuanza na train za 160km/hr mahitaji ya spidi yakihtajika ni ku upgrade rolling stocks tuu elewa kilichoandikwa kabla ya kujitoa ufahamu.Tuliwaambia kwamba mmepigwa mkatuita haters ona sasa [Emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona ss Tony alivyo less informed?Nairobi - Guangzhou By KQ ni 5640 USD One way. Imezidi ATCL kwa 840 USD.
Applies to danganyika alsoMakusanyo sio matumizi
Show yoursmimi nilikua natarajia kichwa kama nyoka... kumbe tu ni Fuso ndo tunaletewa.![emoji848] makosa sana. hapo tumechezwo View attachment 2283728
vs
View attachment 2283735
Hivi huyu anaichukulia mbagala poa kihivyo hajui kuna hadi BRT system ambayo haipo kwenye sehemu yoyote ile Kenya hata CBD ya Nairobi haina.[emoji23][emoji23][emoji23]MBAGALA
Source:MoizView attachment 2283749View attachment 2283750View attachment 2283752View attachment 2283753
Tuletee ile mbagala diamond aliimba, " tatizo kwetu mbagala"[emoji23][emoji23][emoji23]MBAGALA
Source:MoizView attachment 2283749View attachment 2283750View attachment 2283752View attachment 2283753
Huyo huwa yuko well informed lakini sometimes ana ka bias kidogo.Umeona ss Tony alivyo less informed?
Hawa Wakenya wana maisha magumu sn wallahi, angalia walivyo pauka, sura ngumu wote wamevaa mitumba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hali ni ngumu sana kenya....
View attachment 2283736View attachment 2283737View attachment 2283738View attachment 2283739
Wewe unataka kucheka bure tuu nishakuona mkuu yaani unataka kuona ngombe kwenye reli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Show yours
Ndio hiyo sasaTuletee ile mbagala diamond aliimba, " tatizo kwetu mbagala"
So, hii huitaki [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuletee ile mbagala diamond aliimba, " tatizo kwetu mbagala"
huyo muinjoy tuHivi huyu anaichukulia mbagala poa kihivyo hajui kuna hadi BRT system ambayo haipo kwenye sehemu yoyote ile Kenya hata CBD ya Nairobi haina.
[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe unataka kucheka bure tuu nishakuona mkuu yaani unataka kuona ngombe kwenye reli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe endelea kupaka poda sijui unataka kufanana na dadako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa Wakenya wana maisha magumu sn wallahi, angalia walivyo pauka, sura ngumu wote wamevaa mitumba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watanzania wanafaa kua busy wanajenga nchi yao lakini ubaya wao wako busy wakitaka kujifananisha na Kenya wakati Kenya imewaacha kiuchumi na maendeleoNchi kubwa, watu wengi, city moja yenye CBD moja na makazi uchwara, alafu uchumi hafifu, watanzania hunichekesha wanavyo penda ubishi na domo domo, kumbe wanyonge duh😂😂😂😂
ile videp haikufanyika mbagalaTuletee ile mbagala diamond aliimba, " tatizo kwetu mbagala"
Hana bias ila ni msahaulifu pia mambo mengi hata ya nchini kwake hayajui, japo pia anajua mengi.Huyo huwa yuko well informed lakini sometimes ana ka bias kidogo.