Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ni upuuzi na hamtapata customers. Hamuwezi kucompete na Qatar na Emirates on pricing. Upuuzi kama huu ndio ulinilazimisha kutumia emirates badala ya KQ japo nilitamani kutumia KQ kwa sababu ya uzalendo lakini bei yao ni ya upuuzi. Air ticket ya KQ ilikuwa double the price ya Emirates. Yaani hata kama wewe ni mzalendo vipi, huwezi kutumia ATCL au KQ wakati kuna air ticket ambayo ni cheaper by 50%. No wonder airlines zetu zitaendelea kufeli na za Waarabu zitaendelea kufaulu. Pricing is everything.
Hapa ninakubaliana na wewe 100%

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bado unaendeleza hisia za kikabila ulizozaliwa nazo, sio sisi tunawaona Watz bali ni Watz waliozaliwa Tz unataka niwaone sio Watz wakati wamezaliwa Tz we fala nn, unataka mm nifanyeje, nimpeleke Dubai wakati kazaliwa Tz? Peleka ukabila wako kwa mama ngina tafadhali.
Wajinga hao mungiki,wakifika issue zao za kibaguzi wapotezee
 
Kwa nauli hizo kuna watu watakua wanalisabotage hilo shirika kwa manufaa yao

Hizi nauli ni za kawaida kwa China Pekee kwa kuwa Nchi yenyewe haiingiliki kwa sasa na wanaorudi ni Chinese Nationals wenyewe. Subiri Nchi ikifunguliwa bei zitakua za kawaida sana. Tena ATCL ni bei Chee, KQ ni 5640 Usd one way for Nairobi -Guangzhou.
KLM ndio usiseme kabisa bei ipo juu.
 
Mzee! Punguza! Fanya kazi, tafuta pesa usaidie familia yako na wewe mwenyewe. Sisi sote no watanzania bila kujali rangi za ngizo zetu! Ushahidi huko arabuni mbona wanaongea kiswahili Sana na wanajigamba na asili yao ya Tanzania.

Tafuta hela! Acha kulia lia tu!
Hahahaha, hahahaha

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Machine inayokula Umeme, sio kuni [emoji1787]

View attachment 2283699
promise, ntaweka kichwa tu.! mara moja tu☝🏽 ...........
it's only for trial, to check if the rail alignment and electric line systems are upto standards...

my brodas frm the south... mtajua hamjui. this dude is their to stay, believe u me!

Screenshot_20220707-221004_Chrome.jpg
 
then ni ya abiria pekee, na wala haitobeba mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na zambia... ata tazara ni afadhali mara mia. recovering wht was injected will not be easy, ask Tony..
now this is wht i was discussing with u about.... this is wht is usually reffered to as the best example of an authentic white elephant project
Hahahaha, huu wivu ulionao unaweza kuzalisha sumu Kali zaidi ya sumu ya Cobra. Tatizo ni SGR yenu ya kizamaniii au ni kwasababu iliishia porini?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Old map ya Tanzania.
  • Hii Rwanda na Burundi zilikuwaje zikawa nchi? 😀 zingekuwa tu mikoa ya Tanzania
  • Mkoa wa Morogoro ni mkubwa mno, unatakiwa ugawanywe.. nadhan haigawanywi kwasababu sehem kubwa ya Morogoro imeshikiliwa na mbuga za wanyama mfano Mikumi NP na Nyerere NP au Selous Game Reserve
  • Dar es Salaam ni kadogo lakin ndo jiji baba lao
regions-of-tanzania-map.png

New map of Tanzania
map-of-tanzania.jpg
 
si niliwaambia nyinyi wabongo huaga mnatufuatiliza sana sisi kenyaland... najua wengine mtakana, lakini huo ndo ukweli wa mambo. was it not for this thread, swear i bearly knew nothing bout' tanganyika
Hiyo inaonyesha ni jinsi gani ulivyokua mjinga na mpumbavu. Wakenya wengi hizi social media ndio zimewafungua macho, mlikua wajinga Sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Old map ya Tanzania.
  • Hii Rwanda na Burundi zilikuwaje zikawa nchi? [emoji3] zingekuwa tu mikoa ya Tanzania
  • Mkoa wa Morogoro ni mkubwa mno, unatakiwa ugawanywe.. nadhan haigawanywi kwasababu sehem kubwa ya Morogoro imeshikiliwa na mbuga za wanyama mfano Mikumi NP na Nyerere NP au Selous Game Reserve
  • Dar es Salaam ni kadogo lakin ndo jiji baba lao
View attachment 2283974

New map of Tanzania
View attachment 2283978
Lindi ,Moro na Tabora inaweza ikatoka mikoa mingine humo

I think kuivunja kuwa sub mikoa inaweza ika spur more development ..as administration inakuwa rahisi zaidi..plus focus kwenye mkoa inaongezeka..tho it needs cash
 
Old map ya Tanzania.
  • Hii Rwanda na Burundi zilikuwaje zikawa nchi? 😀 zingekuwa tu mikoa ya Tanzania
  • Mkoa wa Morogoro ni mkubwa mno, unatakiwa ugawanywe.. nadhan haigawanywi kwasababu sehem kubwa ya Morogoro imeshikiliwa na mbuga za wanyama mfano Mikumi NP na Nyerere NP au Selous Game Reserve
  • Dar es Salaam ni kadogo lakin ndo jiji baba lao
View attachment 2283974

New map of Tanzania
View attachment 2283978
Magufuli alitaka mkoa mwingine wa Chato ndani ya Geita!
map-of-tanzania-jpg.2283978
 
Back
Top Bottom