Sisi tunajenga nchi moja, wewe kwa ukabila wako wa kuzaliwa unawaona waarabu, mm nawaona Watz wenye asili ya kiarabu na wenye maisha yao Tz, babu na bibi zao Tz, mali zao zote na utajili wao upo Tz na wameupatia Tz na wanaendelea kunufaisha maelfu ya Watz. Yani hao waarabu wana faida kuliko wewe uliyezaliwa ukiwa fukara na bado uko fukara, unakula na kunya hapo Mathare ukiwa huna faida yoyote zaidi ya kuongeza uhaba wa chakula kwa nchi yakoDuuh hawa waarabu wamewadinya katika kila sekta hapo tanzania, hii tabia yenu ya kujipendekeza kwa waarabu muiwache bana. Hatuko tena enzi za sultan





Analeta wanasiasa













Tatizo la ATCL wana nauli kubwa sana wkt mwingine haziendani na uhalisia.Du hizi nauli ni noma
Du hizi nauli ni noma
Yaani! Mjadala mzuri kweli kweliNi mtifuano haswa! Wanaandika Gazeti lenye 12 pages!


sijielewi kivipi?Unadai maneno yangu ni vituko ama haujielewi kilaza?..,
hskuna chamaana hapo ni magofu tuUmia kabisa wenye high standardView attachment 2283356
Hiyo itakuwa Forbes ya korogocho au pipelineThough Tony254 kuna differing reports like forbes inasema Vimal shah is worth $2B.., (Ksh.200B).., Oxfarm inamuweka(his father) second with networth $750M.,
wakenya wanavituko sanaHapo Kunyaland hamna tajiri anavuka $500 mln! Kama Kirubi the richest Kunyan alikuwa ana-claim he is worthy 500 mln ila akapatikana na 250mln kwa account after his death, who is Vimal Shah that his BIDCO is struggling in Tanzania!
Unajua dar Moro kuna mabasi mangapi tena luxury plus coaster ndio ujue kuna demand kiasi gani ya usafiri . Hiyo namba inapigwa hata ndani ya mwaka mmoja . Watu wanasafiri sana nenda stendi ya Magufuli huone idadi ya mabasi ni mengi sanaDanganyika SGR itabeba 7m passengers mwaka gani?
View attachment 2283234
Hizi ni habari za kweli au wamedukuliwa?Du hizi nauli ni noma
Hiyo itakuwa Forbes ya korogocho au pipeline


wacha ukorofi mzee babaHii habari imenisthtua hata mimi, kwa vigezo gani vimeangaliwa mpaka wamepanga nauli hizi, watawakimbiza mbali wateja.Huu ni upuuzi na hamtapata customers. Hamuwezi kucompete na Qatar na Emirates on pricing. Upuuzi kama huu ndio ulinilazimisha kutumia emirates badala ya KQ japo nilitamani kutumia KQ kwa sababu ya uzalendo lakini bei yao ni ya upuuzi. Air ticket ya KQ ilikuwa double the price ya Emirates. Yaani hata kama wewe ni mzalendo vipi, huwezi kutumia ATCL au KQ wakati kuna air ticket ambayo ni cheaper by 50%. No wonder airlines zetu zitaendelea kufeli na za Waarabu zitaendelea kufaulu. Pricing is everything.
Leta hiyo list ya Forbes ikisema huyo tajiri uchwara is woth $2bnWhat of his assets kilaza? coz liquid cash isn't the only measure of a person's worth.., ndio maana Forbes wana rate Vimal Shah as worth $2B.., why?.., kapingane na akina forbes na Oxfam.,
Du hizi nauli ni noma
Ulicho kiandika ndo kile wazungu wanakiita ' slave mentality'. Nyinyi mnawaona watz, wao wanawaona watumwa wao. Tanzania kuna historia ndefu sana ya utumwa kuliko nchi zote Afrika na waarabu wamefanikiwa kuwageuza nchi nzima kua colony yao mpaka ikulu inafanana na Masjid. Samia suluhu mwenyewe kasema wajomba zake bado wanaishi kwa watumwa oman.Sisi tunajenga nchi moja, wewe kwa ukabila wako wa kuzaliwa unawaona waarabu, mm nawaona Watz wenye asili ya kiarabu na wenye maisha yao Tz, babu na bibi zao Tz, mali zao zote na utajili wao upo Tz na wameupatia Tz na wanaendelea kunufaisha maelfu ya Watz. Yani hao waarabu wana faida kuliko wewe uliyezaliwa ukiwa fukara na bado uko fukara, unakula na kunya hapo Mathare ukiwa huna faida yoyote zaidi ya kuongeza uhaba wa chakula kwa nchi yako![]()
Kinachonishangaza zaidi ni inakuaje TC wanagharama kubwa lkn wanajaza abiria yn sielewi inakuaje aiseee.Huu ni upuuzi na hamtapata customers. Hamuwezi kucompete na Qatar na Emirates on pricing. Upuuzi kama huu ndio ulinilazimisha kutumia emirates badala ya KQ japo nilitamani kutumia KQ kwa sababu ya uzalendo lakini bei yao ni ya upuuzi. Air ticket ya KQ ilikuwa double the price ya Emirates. Yaani hata kama wewe ni mzalendo vipi, huwezi kutumia ATCL au KQ wakati kuna air ticket ambayo ni cheaper by 50%. No wonder airlines zetu zitaendelea kufeli na za Waarabu zitaendelea kufaulu. Pricing is everything.
Bado unaendeleza hisia za kikabila ulizozaliwa nazo, sio sisi tunawaona Watz bali ni Watz waliozaliwa Tz unataka niwaone sio Watz wakati wamezaliwa Tz we fala nn, unataka mm nifanyeje, nimpeleke Dubai wakati kazaliwa Tz? Peleka ukabila wako kwa mama ngina tafadhali.Ulicho kiandika ndo kile wazungu wanakiita ' slave mentality'. Nyinyi mnawaona watz, wao wanawaona watumwa wao. Tanzania kuna historia ndefu sana ya utumwa kuliko nchi zote Afrika na waarabu wamefanikiwa kuwageuza nchi nzima kua colony yao mpaka ikulu inafanana na Masjid. Samia suluhu mwenyewe kasema wajomba zake bado wanaishi kwa watumwa oman.