Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi kubwa, watu wengi, city moja yenye CBD moja na makazi uchwara, alafu uchumi hafifu, watanzania hunichekesha wanavyo penda ubishi na domo domo, kumbe wanyonge duh
acha ushamba,kodi haikusanywi ipasavyo mapato mengi yanapotea ,hii yote ni uzembe wa serikali....wakisema wafanye bidii ya ukusanyaji mapato hamgusi hata robo
 
Mtakomaa kutufahamuu 😅😅

yaani, mtondo ni ule wa kuchukuchukuchukuchu.......... and so on and so forth.. 😆😆
Screenshot_20220707-182823_Chrome.jpg
 
acha ushamba,kodi haikusanywi ipasavyo mapato mengi yanapotea ,hii yote ni uzembe wa serikali....wakisema wafanye bidii ya ukusanyaji mapato hamgusi hata robo
same case in Kenya, what's your point then?.., your country bado sana, kuna many other factors za kuonyesha level ya uchumi wenu, so excuse hii yako uchwara haibadilishi ukweli.,
 
kisha inashangaza sana kua, huu mradi wote, hauna uhusiano wowote na Dar Port.. kisa...... umeme haiwezi beba mzigo🤔

haya, mjiandae kukadria hasara.. another white elephant project in the room
Endelea kujitia hamnazo utaelewa tuu
 
same case in Kenya, what's your point then?.., your country bado sana, kuna many other factors za kuonyesha level ya uchumi wenu, so excuse hii yako uchwara haibadilishi ukweli.,
Nakubaliana na wewe ziko njia nyingi za kuonesha uwezo na level za uchumi. Mojawapi ni uwezo wa serikali ku excute miradi mikubwa kwenye nchi, exports kubwa between neighbouring countries etc
 
Wajaluo ndio slum masters, Kibera yote ni yao, yaani slum dwellers wamemfanya odinga akawa maarufu how many are they!
Wajaluo kule Kenya ni maskini wa kutupa wengi wao naskia hawakuenda shule na ndiyo wapo wengi cjui ni kweli? Ila kwenye suala la umaskini wa wajaluo lipo wazi.
 
TRC has confirmed through DG that the sgr rail has the ability to run trains at 250km/hr but according their decision at the time 160km/hr was seen as sufficient for now until when there is a need to ramp up speed in the future.
Tuliwaambia kwamba mmepigwa mkatuita haters ona sasa
 
Back
Top Bottom