Hii inaonekana ndogo Tonny, Tena ni Direct flight, Ukibook ya KLM ndio utajua za ATCL ni mteremko, miezi kama minne iliyopita kuna mtu alienda one way kwa 15000 USD, na hii inaweza kuwa inasababishwa na restrictions za Airline mbalimbali kuingia China. (Si unajua raia wa kawaida yoyote haingii China sasa hivi?) So many of the people flying to China now are Chinese Nationals and other foreigners with special cases Mostly with humanitarian cases or Diplomats going to their posts.
Nauli ya ATC ni mteremko kabisa kwa sasa . Ila mambo yakiwa normal tegemea hizi rates zitashuka hadi 700 USD go and return. ila sasa hizo rates pamoja na ile ya 15000 USD ni ONE WAY.😀