Hii deal ya barabara ni ya upumbavu sana wacha nikuambie. Mimi niliipinga kuanzia siku ya kwanza na nilifurahi ilipoanguka. Sasa kwa nini tupoteze pesa kujenga expressway kutoka Mombasa hadi Nairobi and yet tayari tuna reli ya SGR, ya MGR, na lami kutoka Mombasa hadi Nairobi? Hii ni the most useless project ever. Mimi nipo against it kabisa na vizuri ilijifia. Ukifuata comments zangu za zamani utaona niliupinga huu mradi. Baadaye wakati idadi ya magari itaongezeka basi mradi huu utakuwa sawa lakini sio sasa. Halafu ilikuwa expensive kishenzi, eti ilikuwa inacost around $3.2 billion. Yaani same price na SGR ya Kenya. Halafu US contractors wako expensive sana, kama ingekuwa ni Mchina anajenga basi mradi ungecost pengine $2 billion.