Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,118
- 17,848
Kwani hiyo ya Kibera and surrounding areas imekuwa zoomed?Usipost picha ya mbali to suit your intention zoom vizuri uone kama utakuta slum hapo.
Kwani hiyo ya Kibera and surrounding areas imekuwa zoomed?Usipost picha ya mbali to suit your intention zoom vizuri uone kama utakuta slum hapo.
Hapa tunatumia data, sio maneno ya vijiweni. Your leading export to Kenya is riceVipi kuhusu tiles and soft drinks from Tanzania
Siku zote tumesema humu ndani haya mashirika ni ya mchongo hamsikii M7 is right about UG being a LMIC.Watuambie hao WB, population ya Uganda ni kiasi gani na GDP ya Uganda ni kiasi gani kwa Sasa ili tupige hesabu, wawache kujifanya wajuaji wakati nchi ndizo zenye jukumu la kufanya sensa ya watu kujua idadi Yao na sio WB
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona hiyo ni kidogo bongolala? 😂😂😂Not 5, million ni 2.5mil slum dwellers, usipanick.
Akili za kushikiliwa hizo hajitambui.Iyo testing inafanyika dar moro alafu uko apa unaongea matope
Kweli kabisa kwahiyo price tag ya $3.2bn bora mjenge rail Kenya nzima au muwekeze kwenye viwanda. I think wale wamarekani walitaka serikali ichangie kiasi cha pesa out of $3.2bn ili kupunguza interest kwenye mkopo anbao wangechukua kwa huo mradi.Hii deal ya barabara ni ya upumbavu sana wacha nikuambie. Mimi niliipinga kuanzia siku ya kwanza na nilifurahi ilipoanguka. Sasa kwa nini tupoteze pesa kujenga expressway kutoka Mombasa hadi Nairobi and yet tayari tuna reli ya SGR, ya MGR, na lami kutoka Mombasa hadi Nairobi? Hii ni the most useless project ever. Mimi nipo against it kabisa na vizuri ilijifia. Ukifuata comments zangu za zamani utaona niliupinga huu mradi. Baadaye wakati idadi ya magari itaongezeka basi mradi huu utakuwa sawa lakini sio sasa. Halafu ilikuwa expensive kishenzi, eti ilikuwa inacost around $3.2 billion. Yaani same price na SGR ya Kenya. Halafu US contractors wako expensive sana, kama ingekuwa ni Mchina anajenga basi mradi ungecost pengine $2 billion.
Huyo ni mteja mmoja tuu we need to get many more especially wakati huu Europe is reeling under energy crunch.Tsh50bil for 5year au sijaelewa?
Kwenye PPP ambayo iko fully funded na partner mmoja price huwa inakuwa inflated sana ili kuvutia mwekezaji kuweka hela zake Kwenye mradi na pia ku mitigate changamoto zinazoweza kujitokeza katika uchumi wa nchi husika.Ni PPP haitatucost chochote. Ni kama expressway tu. Korea watachukua toll kwa miaka fulani
New York London Paris Tokyo Beijing na miji yote mikubwa duniani haina huo upumbavu wa wanyama pori CBD mlionao ninyiThat's a protected/reserved land. The only one of its kind in the entire world. That's not some cassava plantation farms like those ones in Dar. How many acres are they by the way? 😂😂😂😂
Hizo miji umetaja pia hazina upumbavu wa shamba za mihogo ndani zaoNew York London Paris Tokyo Beijing na miji yote mikubwa duniani haina huo upumbavu wa wanyama pori CBD mlionao ninyi
uUkiachia kuwa mimi ni mfuatiliaji mzuri pia ni forumer wa platforms nyingi sana.Fatilia mambo vizuri uwe armed na facts sio unalishwa matango pori tuu.
Under Mama![]()
![]()
Hyundai Rotem wins contract to deliver train cars to Tanzania
South Korea-based company Hyundai Rotem has secured contracts worth $295.65m (KRW335.4bn) from Tanzania Railways Corporation (TRC) to deliver eco-friendly train cars.www.railway-technology.com
![]()
Liebherr HVAC For Coaches In Bangladesh And Tanzania
Liebherr-Transportation Systems (China) has been selected by the Korean locomotive and railway car builder Sung Shin Rolling Stock Technology to deliver 260 HVAC units for vehicles to be operated in Bangladesh and Tanzania.www.railvolution.net
Under Magufuli![]()
Used trains 2 electric locomotives + 30 used double decker coaches in 2020. Hakuna taarifa za mkataba wa kampuni waliyonunulia mpaka juzi wamevunja mkataba ndio wanaitaja Eurowagon. Mkataba wa kificho sana huu na ndio maana walikuwa na kigugimizi kuutaja.
Mmejenga nini? Sgr ya 1600km? Au energy source ya kuzalisha 2115MW in one project? Au labda mmejenga a functional BRT system? Embu extrapolate mmejenga nini?Kenya tumeshaijenga ndio maana tuna Gdp ya $114 billion. Nyie ndio mumeanza kujenga uchumi wenu juzi tu. Bado mna safari ndefu.
kwani ugomvi? Nime-post opinion yake unaweza soma na usihangaike kunijibu!Kubwa jinga lenzako......
Mkuu wa wilaya kujifananisha na raisi alopiga campaign na kuchaguliwa na wananchi kwa above 70% ya kura 😂😂😂hiyo ni takataka mbele ya uncle!!
Mozambique ana develop gas fields zake na mtambo wa floating LNG umeshatengenezwa tayari ilichobaki ni kuanza production by 3rd quater of this year. Aliyekuambia kuwa mradi wa gas umekuwa suspended amekulisha matango pori.Unajua ujinga waliyofanya? Wanawekaje Mozambique huko juu eti wana projects worth $29 billion ilhali LNG project ya Total ilisitishwa kwa sababu ya Ugaidi? Hio ndio tatizo ya Malazy kuokota taka taka kwenye twitter na kupost hapa.
wakunya bwanaHahahaha, hahahaha, hahahaha. Hivi huko kwenu bado matumizi ya miraa ni halali?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The best president to me is the one who upholds the rule of law, human rights, respect democratic space, freedom of speech and association.Ngoja nikuulize mkuu mana naona kama una ndimi mbili, kati ya Magufuli na Samia nani ni the best president.
Kupanga ni kuchagua mkuu mbona tumeweza sgr itakuwa ndege ndugu.Budget yake kaka mkubwa tutaweza?