Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nashindwa huyu anatuambia nini na every year kuna Mater heart run na Karen Hospital heart run ambazo huraise funds for free heart operations for kids.
Wivu na chuki za kijinga ndio zinamsumbua
 
Kenyatta Referral has a PET in their comprehensive cancer unit. - Inside KU hospital's new cancer imaging centre

Here is a link you can book an appointment uangaliwe kama uko na tumor kwa akili. - https://imaging.kutrrh.go.ke/service/01-pet-ct/

PET scanner Kenya ilipata more than 10 years before Tanzanians knew what it was. Ziko private hospital kadhaa pia.

Sasa ndio ujue Kenya sio ligi moja, show us 94 public hospitals in Tanzania with radiology machines and dialysis machines.

80% of Tanzanians wakijikwaa lazima wakimbizwe Dar ama Dodoma, let alone cancer and kidney failure.

View attachment 2280955
Wacha ujinga, PET scanner mlipata mwaka Jana August 2021, soma hiyo article hapo, kabla ya hapo wagonjwa toka Kenya walikua wanakwenda India na Tanzania, Tanzania siku zote ipo mbele ya Kenya Kati suala Zima la huduma za Afya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ushaambiwa ubook appointment uangaliwe Kama uko na tumor kwa akili 😂 😂 😂
Kwa jinsi unavylazimisha mambo, hukosi kuwa na matatizo ya kiakili
 
yes we see 😂😂😂😂 mchina kiboko
894B6105-5762-4FFB-A460-72F7ABDE778A.jpeg
 
Wacha ujinga, PET scanner mlipata mwaka Jana August 2021, soma hiyo article hapo, kabla ya hapo wagonjwa toka Kenya walikua wanakwenda India na Tanzania, Tanzania siku zote ipo mbele ya Kenya Kati suala Zima la huduma za Afya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona mkenya aende Tanzania na Agha Khan pia ikona na PET Scan na wanakubali NHIF. Wewe wacha kuota, sahii KTRH ikona machines kama zote muhimu za kutibu cancer.
 
Mama alipoingia alitangaza kwamba corona ipo, mask ivaliwe, social distancing ifanyike. Sasa hivi mnapokea watalii kwa sababu mama alisafisha mambo ambayo mwendazake alikuwa ameharibu. Hamgepata watalii ikiwa bado mngekuwa mnashupaza shingo kwamba hakuna cha kufuata mawaidha ya wanasayansi kuhusu corona. Pia biashara kati ya Tanzania na Kenya imeimarika kwa sababu ya upole wa mama. Hapo namshukuru mama sana. Najua Wakulima wenu pia wanafurahia sana. Huyo mwendazake alikuwa anaichukia Kenya vinoma.
Sasa mbona Kenya, Uganda na Rwanda hampati watalii wengi Kama Tanzania pamoja na kwamba mlifuata taratibu zote za kujikinga na Corona?.

Kuhusu biashara na Tanzania, mbona bado Kenya mnaendelea chokochoko huko mipakani, au hata mama pia anaichukia Kenya?.

Kuhusu biashara Kati ya Kenya na Tanzania, wakulima wa Tanzania wanapata pesa, ila wakenya wanaokoa maisha ya wakenya ambao bila chakula cha Tanzania, wanakufa kwa njaa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
My point was driven home long time go. Sasa wewe unasemaje kuhusu hiyo picha ya kijiko ya nyama na posta kwenye picha moja?
umetaka kuona prism nimekuonesha narudia kukwambia nairobi ni ndogo sana mara tatu ya dar mark my words 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom