The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Reason behind ๐nimefurah kuonasarafu ya kenya imeshuka from 23 to 19 asanteni ๐น๐ฟ๐น๐ฟโ โ ๐๐๐View attachment 2280573
Reason behind ๐nimefurah kuonasarafu ya kenya imeshuka from 23 to 19 asanteni ๐น๐ฟ๐น๐ฟโ โ ๐๐๐View attachment 2280573
Dalili za kujifariji ๐๐๐๐..Sasa in terms exchange rates, kati ya Ksh 19 na Ksh 23 ni gani ndio ina unafuu? Shilingi ikipanda dhidi ta dollar sio vizuri kiuchumi ila ikishuka ni afueni kwa wananchi. Stop dragging yourself into matters you don't understand
Bado mnaamisi Samia ni timamu??
Ashasema tunanunua mitumba
Hata mzee alikua anatupasha sana naona kama nikawaida yao hawaIshu yangu hapo ni hio mipasho anayoitoa mkuu.. anapigana na raia wake anaowaongoza
Kazi iendelee ๐Facts, our hospitals are well equipped, that's why we are among the top countries in Africa in terms of health care.
Nategemea upepo na hali ya kisiasa itabadilika Kwa kiwango kikubwa sana katika historia ya siasa na chaguzi zao.Hii issue inaenda kuwa campaign agenda huko Kunyaland!
Kazi inaendelea ๐Facts, our hospitals are well equipped, that's why we are among the top countries in Africa in terms of health care.
9%Hivi naye amefikia asilimia ngapi sasa hivi maana wanasema yuko slow tofauti na muda aliopewa.
๐ ๐ ni mwendo wa mipasho tu.. she should be friendly na raia wake kwa maneno mazuri sio mipasho ๐คฃ
Saiz imebidi nimuonee huruma tu ๐คฃ
Hawa wakunya wengi wao ni washamba sana halafu ni wabishi kupindukia.Hiyo niliokuonesha ipo dedicated kwa nani?
Sasa Dar jiji la uswazi ina nini la kuiga? Makazi kama hayo yamejaa maeneo ya Ruai (which you ignorantly call a slum), Utawala, Athi River, Kitengela, Kamulu, Kiserian, Ngong, Garden Estate na maeneo mengine mengiTaratibu mnaanza kujifunza kutoka Tanzania kuishi haya maisha ya kitanzania na kujenga kama Watanzania lakini hii ni 0.001% ya kunyaland, 99% middle class wenu bado mpo kwenye Baghdad settlement ๐ ๐ ๐
Hapa kidogo mmejaribu kuiga Tanzania
View attachment 2280852
Order inayofuata inabidi iwe ya ndege 10. Dreamliners 5, max 3, turbo prop 2 ili kuweza kuserve masoko ya UK, US, France, Mumbai na Guanzhou plus regional na local routes.Yaani nangoja dreamliner ya tatu ije naona Mbarawa hafanyi mchezo kwenye kusainisha BASA! Tayari ameshasaini na UK, France na US! Wasiwasi wangu tutapewa clearance na tuna ndege chache! Tunapaswa na kuwa na at least 7 wide bodies aircraft na hapo kabla ya daily flights! Order inayofuata itabidi mama afumbe macho! Atenge kama $1 bln!
How i wish that to be possible! Ila sina uhakika kama mpunga huo upo!Order inayofuata inabidi iwe ya ndege 10. Dreamliners 5, max 3, turbo prop 2 ili kuweza kuserve masoko ya UK, US, France, Mumbai na Guanzhou plus regional na local routes.
unataka kucompare fully fledged Hospital for kids na Wing ya hospitali. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ wewe primary school dropout wacha upumbavu.Leta pictures tuone kama inaendana na ya muhimbili, we kichaa hujui kama ocean road cancer Institute nayo ni muhimbili wing lakini ni hospital kubwa hakuna mnafanowe kunyaland
Ongezea au ukilipa cash bei hupungua kidogoZiko mbili ..list price ya 787-8 ni 240mil usd..ila manufctures hutoa discount kutegemea na vitu mbali mbali mfano ..mkichukua nying at once au mkiweka future commitments etc..sijajua kama ilifanyikwa kwa Tz
.Ukiwa mjanja kuna company nying kubwa zinanunua ndege kwa discount mfano Delta Airlines huwa ni mabingwa wa hio