Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si ulisema ikiwa ni private hospital unafunga account? 😅😅😅

Mkunya hii ni St Benedict hospital Mtwara, way better than that NGO dispensary

Kwenye issue za health mngekaaga mbali tu na Tanzania!


Huku ni kwa kina harmonize lakini kuna huduma hata Nairobi hazipo!

View attachment 2281117View attachment 2281118View attachment 2281119View attachment 2281120View attachment 2281121View attachment 2281122
Nimekuambia unionyeshe pahali imèandikwa ni private hospital nifunge account sahii. Bongo mzima hakuna public childrens hospital. Hohoho umeanza kutapatapa.
 
We Primary school dropout, far hemisphere ndio gani? 🤣 🤣 🤣
We kichaa ulitaka mpaka niseme far southern part of Tanzania?

Akili yako ndogo mno
Screenshot_20220704-212014.png
 
Nategemea upepo na hali ya kisiasa itabadilika Kwa kiwango kikubwa sana katika historia ya siasa na chaguzi zao.

Kutakuwa na mabadiliko makubwa haswa. Tanzania ikiwa catalyst ya yote hayo. Sijui ni coincidence au mipangilio... Ila Kwa round hii tumuombee kheri jirani. Hii testing imekuja wakati ambao hawatakaa wasahau.

Shauri Yao, walikuwa wanabeza sana.
Itapendeza yakitokea machafuko.
 
Hizo wanaweka order na kutenga budget ya ndege 3 kila baada ya miaka 2 so ndani ya 5-6 years wanaweza kununua hizo zote.

Kama dreamliner moja 787-8 ni 240m then tatu zitacost 720 sasa hii devide kwa 2 years maana yake kila mwaka unatenga budget ya USD 360 which is doable.
Ohk ni sawa nilikuwa naangalia plan yao ya kuwa na watalii 5 mln by 2025 na the currently signing of BASA Agreements ndo maana nika-suggest at least 4 wide bodies zinahitajika maana sioni wakifikia hiyo target ya 5 mln bila Air Tanzania kuanzisha direct flights to US na EU!
 
If wishes were horses, we would ride on them. You people pray so much manufacturing sector yetu ianguke. But itabaki kuwa ndoto na wishful thinking. Our manufacturing sector still remains the biggest in the region, that's why hata consumption ya umeme pia tumewazidi.

So bongolala, it's not just about production. We are also the biggest consumer of electricity than any other country in this region. I know this is a bitter pill but just open your mouth wide ipite tu [emoji23]
Who is selling more to another country by now?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yet you praise those who brought you tribalism, nepotism and land grabbing.
Something is amiss in your head.

Wakenya sisi sio bongolala.
We don't praise our thieves. Sisi sio vichwa maji ambao hawaoni ubaya wa marais na waliochaguliwa.

Jomo Kenyatta, Moi, Uhuru etc. are some of the most abused people in Africa.
You can check Kenyan Twitter for material.

Tanzania ngumu kupata aliye na akili ya kusema ukweli kuhusu rais wenu.
 
Kwani bidhaa zinazopitia port of Mombasa zinakuwanga exports za Kenya? Umechanganyikiwa bongolala au it's just a clever way of changing the gear mid air?
Ndio sababu nikakuambia huna akili ya kuendesha mjadala unatupotezea muda bure.

Labda Kama hurojali tafadhali tuambie "level" yako ya Elimu, kwasababu tunaona Kuna "gap" kubwa jinsi unavyojibu naswali, tunashindwa kukuelewa na huendani na sisi, inabidi tutumie nguvu nyingi kukuelewesha, tumeanza kukuchoka.

Wewe ulitaka kuonyesha kwamba Mombasa port inapokea mizigo mingi kuliko Dar port, Mimi nimekuambia hata ktk biashara ya export Kenya ilikua juu ya Tanzania lakini hivi Sasa Tanzania ndio ipo juu. Nilitegemea utaelewa ninamaanisha kwamba, muda sio mrefu hata Mombasa port itazidiwa na Dar port, badala yake wewe unazungumzia mambo tofauti kabisa, wewe akili yako ni ndogo Sana, hata Ichoboy alivyokua anazungimzia Exchange rate ya Ksh vs Tsh, ulijibu vitu vya ajabu sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya sisi sio bongolala.
We don't praise our thieves. Sisi sio vichwa maji ambao hawaoni ubaya wa marais na waliochaguliwa.

Jomo Kenyatta, Moi, Uhuru etc. are some of the most abused people in Africa.
You can check Kenyan Twitter for material.

Tanzania ngumu kupata aliye na akili ya kusema ukweli kuhusu rais wenu.
Em Anza kukosoa hizi statistics za jubilee na taahira wenu uhuru nipime kweli kama akili unazo sababu hizi hata kichaa atashtukia chezo

Screenshot_20220602-084334.png
Screenshot_20220602-083327.png
Screenshot_20220602-082309.png
Screenshot_20220602-081529.png
 
Back
Top Bottom