Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

chanika ni over 40km from CBD ni sawa kutoka nairobi CBD kwenda thika imagine 😂😂😂😂 kwenu ushaingia county nyingine tayar
Does that change the fact that hiyo ndio ukubwa wa Dar tunatajiwa huku kila siku? Huo ukubwa ina umuhimu gani wakati nusu yake ni vichaka na hekari za shamba za mihogo?
 
Most of your exports to Kenya are raw materials, not processed products which require electricity to produce. Last time I checked, maize and rice were your chief exports to Kenya. How is does this even show that you consume more electricity than us which was the topic of discussion?
What are main goods does Kenya export to Tanzania, mention one only

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unaanzaje kutumia hela zako wakati kodi haujalipa..unafanya kama Magu alikuwa hakopi..cha maana nikufanyia kazi ya maana hela unayokopa..am not here kumtetea rais flani au kumponda..but kwa stage tuliyopo kuna neccesary mikopo ili kumalizia miradi

Magu alichukua mikopo naye tena commercial loans
1.Standard chartered 1.6bn
2.Credit suisse etc

2. Aslimia 60 ya wa Tz wanafanya kilimo unataka uanze kuwapeleka shule..kwann usitafute FDI itakayowanyaua wakulima huko nje

3.Walipa kodi hatuwezi ku foot bill ya miradi yote lazima ukope ila utumie hela vizuri kumaliza strategic projects ..mama hajaanzisha any big project mpya zaidi ya kumalizia za magu za SgR, na jnhpp

4.Kachukua mkopo IMF ..kaanza kujenga shule , huduma za maji na hospitali..kachukua 450mil usd usd kwa ajili ya vyuo world bank, kachukua mikopo afb ufaransa kwa ajili ya maji morogoro na shinyanga..unless hii mikopo haitafanya hizi huduma mm sioni baya

5.Cha maana ni kutumia Asia model kufanikiwa

cha kwanza kwa sasa ni kuimarisha Ajira kwa wa tz waliopo sasa hapa wengi ni wakulima na wana basic skills ili kutoa umaskini..kufungua sekta ya kilimo ambayo budget ime triple, kurudisha sector ya textile imdustries etc

cha pili kwa watoto wetu awamu ijayo kuwapa elimu ya masomo ya computer kuanzia wadogo ..maana dunia inaeleka huko .

cha tatu kwa wahitimu wetu kupeleka kuwasomesha nje ..hasa swala la madini , Gas extaction and processing na kuwa tie kwenye 5 to 10 year contact warudi ku develop nchi yetu ..hatuna ujanja..if you cant beat them join them

Tukijibana sana bila kuongeza wigo wa kodi..ambacho hicho ndo nalaumu Tz..hatutaweza kumalizia miradi haraka..na bado hatuna wasomi wakutengeneza hata machine za kuchimba..cha maana kusomesha watu nje warudi watengeneze vitu huku ndani
 
Nashindwa huyu anatuambia nini na every year kuna Mater heart run na Karen Hospital heart run ambazo huraise funds for free heart operations for kids.
Wacheni ujinga wenu, Kenya heart surgeries hufanywa mara chache na visiting doctors, hakuna Hospitali ya serikali inayoifanya "routine heart operations", Kama ipo itaje na uweke link yake tusome. Unadhani kwanini NGOs za Kenya zinazowasaidia watoto wenye hayo matatizo huwapeleka Egypt, India na Tanzania?.

Magu kaiharibu sana hii nchi! Watu mpaka sasa wandhani hakukopa!
 
Tanga port ..1st 150m Berth imemalizika ..hapo inajengwa quay yenye 400m
tapatalk_1656970727633.jpg
tapatalk_1656970732514.jpg
 
Agha Khan ni ghali Sana wakenya wengi hawana uwezo wa kutibiwa Agha Khan Hospital

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
NHIF inalipia PET CT scan zote whether ni private or public hakuna tofauti. We have 5 hospitals offering PET scan nyinyi mkona ngapi? kama si hio muhimbili pekee ambayo ina serve nchi mzima.

1656947484084.png
 
What are main goods does Kenya export to Tanzania, mention one only

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
One of the top products Kenya exported to Tanzania in 2020 for instance, is soap (a finished product) valued at $41.9m.

Tanzania's leading export to Kenya that same year was rice ( a raw material) valued at $32.9m.
Screenshot_20220705-003948~2.png

This only confirms our place as the region's leading consumer of electricity
 
NHIF inalipia PET CT scan zote whether ni private or public hakuna tofauti. We have 5 hospitals offering PET scan nyinyi mkona ngapi? kama si hio muhimbili pekee ambayo ina serve nchi mzima.

View attachment 2281355
Hata nilikua nasahau we have 6, now that Nakuru county imefungua Cancer Centre na ikona PT Scan. Next is Kisumu County ambayo construction ya Cancer Centre bado inaendelea.
 
Aisee Tony254 huku si ndo pande ya kwenu! Mpo busy ku-instigate Masais of Ngorongoro huku watu wenu wanaumia mbona msi-claim part of Uganda too?
Huko sio kwetu lakini bado ni Kenya. Ni huzuni kuona wanapitia masaibu haya. Nimesema hapa mara nyingi kwamba serikali inastahili kuchimba boreholes kila mahali huko Northern Kenya ili kupunguza athari ya ukame. Kenya ni miongoni mwa nchi ambayo imeendelea sana ukiilinganisha na nchi zingine za Sub saharan Africa lakini kwenye mambo haya ya kuwashughulikia wafugaji wa Northern Kenya huwa tumezembea sana. Huwa nashindwa kwa nini kuna njaa Northern Kenya and yet serikali ya Kenya ina uwezo mkubwa sana wa kifedha kushinda serikali yoyote ukanda huu. KRA ina target ya kukusanya around $20 billion this financial year. Sasa sio kwamba Kenya haina pesa, pengine priorities ndio zipo wrong. Ujue hii njaa inatupea bad press, inafanya watu duniani wafikirie Kenya ni nchi masikini kupindukia na kumbe ni serikali haijali. Pengine rais ajaye atasaidia.
 
Wacheni ujinga wenu, Kenya heart surgeries hufanywa mara chache na visiting doctors, hakuna Hospitali ya serikali inayoifanya "routine heart operations", Kama ipo itaje na uweke link yake tusome. Unadhani kwanini NGOs za Kenya zinazowasaidia watoto wenye hayo matatizo huwapeleka Egypt, India na Tanzania?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

From Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret to Tenwek Hospital deep in Bomet County 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom