Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania year 2398
FB_IMG_16550243685036987.jpg
FB_IMG_16550243613880044.jpg
 
Ulikuwa unaitafuta..au umeiona baada ya mim kuileta kumjibu Tony kuhusu SGR?😂.. anyway kuhusu mama kuwa mwanamke iko wap hapo kweny comment
Mama mimi ninavyoona atafanya mambo mengi makubwa kabla ya kuondoka. Yeye ni silent killer kama Obama ama Kibaki. Hapendi uhasama, drama na vita lakini kwenye ground vitu vinasonga. Hata JNHPP kwa mwaka mmoja ujenzi wake umesonga sana. Sometimes hio stability na peace of mind ndio nchi huwa inahitaji ili mambo yasonge. Ona sasa Magufuli pamoja na mazuri yake yote, mapungufu yake moja ni kutoamini vaccines kutowasikiliza wanasayansi. Wakati nchi zote ukanda huu zilikuwa zinakwenda kwenye lockdown, Tanzania tu ndio ilishupaza shingo kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo hakuna haja ya lockdown wala vaccines, unajifukiza tu kisha unakuwa freshi.
 
Mama alipoingia alitangaza kwamba corona ipo, mask ivaliwe, social distancing ifanyike. Sasa hivi mnapokea watalii kwa sababu mama alisafisha mambo ambayo mwendazake alikuwa ameharibu. Hamgepata watalii ikiwa bado mngekuwa mnashupaza shingo kwamba hakuna cha kufuata mawaidha ya wanasayansi kuhusu corona. Pia biashara kati ya Tanzania na Kenya imeimarika kwa sababu ya upole wa mama. Hapo namshukuru mama sana. Najua Wakulima wenu pia wanafurahia sana. Huyo mwendazake alikuwa anaichukia Kenya vinoma.
 
Hio ni wing ambayo iko chini ya main Hospital, hata KNH ikonayo. It's not a children's Hospital. Hospitali ya watoto is dedicated entirely for kids sio wing.

Leta pictures tuone kama inaendana na ya muhimbili, we kichaa hujui kama ocean road cancer Institute nayo ni muhimbili wing lakini ni hospital kubwa hakuna mnafanowe kunyaland
 
[emoji28][emoji28] ni mwendo wa mipasho tu.. she should be friendly na raia wake kwa maneno mazuri sio mipasho [emoji1787]

Saiz imebidi nimuonee huruma tu [emoji1787]
Investors wakija ndio mnakua wakwanza kupost humu daah wabongo kazi sana
 
But hongera kwa Rais SSH kwa kukamilisha kupata wakandaras wa vipande vyote vilibaki from Dar to Mwanza, thats what I really wanted her to accomplish. Sasa ni rasmi line yote ya SGR of over 1200km from Dar to Mwanza is underconstruction. [emoji122]
Dar kilosa sitayari man au inaishia moro mjini tu
 
Unajua hapo utavuka mitaa mingap hadi ufuke posta?sasa hapa kuna mawili either unataka kujua au hujui unajifanya unajua
Mimi sina shida na hiyo. Ndugu yako ichoboy akiona picha ya Nairobi iliyopigwa sehemu fulani kisha maeneo mengine yaonekana huwa anatoa povu sana ndio mimi pia nikampa hiyo picha ya kijitonyama na posta ndani ili atumie akili for once.

Hii picha imepigwa South C na Westlands inaonekana. Unajua unapita mitaa mingapi ndio ufike Westlands from South C?
1651325976621 ~2.jpg

It's just about angle ya picha, kitu ambacho yule jamaa wenu haelewi
 
Back
Top Bottom