I thought hapa ni Liverpool street [emoji28]The shining part of Dar es salaam.
I thought hapa ni Liverpool street [emoji28]The shining part of Dar es salaam.
Sisi ambao hatujawahi toka nje ya Tanzania tumeambiwa kuwa Kenya watu wanakufa na njaa, wanakufa na cholera, maji ya bomba taabu, watu wachache mabeberu wanasiasa na matajiri ndio wanamiliki ardhi na pia watu wengi wa hali ya kati na chini wanakaa kwenye malazi hatarishi sijui ndio slums mnazozizungumzia humu ndani.Nyerere aliwalisha uongo kuhusu Kenya, waliomfuata wakaendelea vivyo hivyo.
Ndio maana 99.99% ya Watanzania ambao hawajawahi kanyanga nje ya nchi, idea zenu za Kenya ni za kuchekesha na kijinga.
Wewe ni mmjoa wao.
Tembea ujifunze mengi.
Subiri picha acha kupanick"The Muhimbili Orthopedic Institute (MOI) will soon introduce a non-incision treatment called CyberKnife surgery"
Sisi sio wajinga. Tunajua soon yenu ni miaka kumi+.
Kama ile soon ya Bagamo Port.
Leta evidence hio mashini iko MOI na ni operational.
Mkunya na one stand alone house yenye fence na compound wapi na wapi? 😅😅😅Sasa Dar jiji la uswazi ina nini la kuiga? Makazi kama hayo yamejaa maeneo ya Ruai (which you ignorantly call a slum), Utawala, Athi River, Kitengela, Kamulu, Kiserian, Ngong, Garden Estate na maeneo mengine mengi
😂😂😂 Kumbe ni maneno kutoka kwenye kiNGO cha kitapeliunataka kucompare fully fledged Hospital for kids na Wing ya hospitali. 🤣 🤣 🤣 wewe primary school dropout wacha upumbavu.
View attachment 2281077
![]()
![]()
Halafu unakiita hiki kihostipatali a public hospital kumbe ni private business ya Mzungu 😂😂😂unataka kucompare fully fledged Hospital for kids na Wing ya hospitali. 🤣 🤣 🤣 wewe primary school dropout wacha upumbavu.
View attachment 2281077
![]()
![]()
Yet you praise those who brought you tribalism, nepotism and land grabbing.So unasema kabla Nyerere Tanzania ilikuwa haina umoja, imejaa ukabila, rushwa slums, blah blah blah..
You are so deficient of national heroes, you cling on a clueless guy who did nothing but condemn you to poverty, illiteracy, jealousy of neighbors, malnutrition etc.
180km dar-moro hamjamaliza tangu 2017, 1200km SGR mtamaliza 2095Watu tunajenga 1200km of sgr unaongea ujinga gani ww
Nionyeshe mahali imeandikwa ni private hospital nifunge hii account sahii.Halafu unakiita hiki kihostipatali a public hospital kumbe ni private business ya Mzungu 😂😂😂
Hahaha Ukraine is about to be ditched!
Kabaya kama nyumba za pipeline 😂😂😂Nionyeshe mahali imeandikwa ni private hospital nifunge hii account sahii.
Shoe4 Africa has over 200 beds. Yenu iko wapi? Tanzania yote hakuna any public children's hospital. 🤣 🤣 🤣 🤣 Yetu ingine ndio hii, 350 beds.
Anaomba poo hatajua hajui
Hizo wanaweka order na kutenga budget ya ndege 3 kila baada ya miaka 2 so ndani ya 5-6 years wanaweza kununua hizo zote.How i wish that to be possible! Ila sina uhakika kama mpunga huo upo!
Si ulisema ikiwa ni private hospital unafunga account? 😅😅😅Shoe4 Africa has over 200 beds. Yenu iko wapi? Tanzania yote hakuna any public children's hospital. 🤣 🤣 🤣 🤣 Yetu ingine ndio hii, 350 beds.
![]()