Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuambia unioneshe Prism Tower
umefurahi sasa 🤣🤣🤣🤣
70D6857A-5902-47A7-91BE-B77E07868896.jpeg
F2546D2C-2754-4A16-9D49-190E594A39E4.jpeg

956FDB89-5ABB-4162-A417-F4595659479C.jpeg
 
Miradi ni ya wananchi wa JMT achaga ufala na ushamba,alijenga nani ni kwa niaba ,hakuna mradi wa Nyerere, Mwinyi ama nani apa
Wapumbavu wengine usiwajibu wanatafuta uteuzi mana I'd zao zinajulikana na viongozi, haiingii akilini mtu anaongea utumbo kama huo wkt the same person alikuwa anafungua nyuzi kibao kusifu kwa miradi hiyo hiyo ambayo leo anasema kajenga mama.
 
Sasa in terms exchange rates, kati ya Ksh 19 na Ksh 23 ni gani ndio ina unafuu? Shilingi ikipanda dhidi ta dollar sio vizuri kiuchumi ila ikishuka ni afueni kwa wananchi. Stop dragging yourself into matters you don't understand
Hivi lini utapata akili ya kuchangia mijadala, huna akili usitupotezee muda

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom