Sidhani Kama M7 amekosea, ukitaka kujua kwamba yupo sahihi, chukia GDP figure za Uganda za 2021 kutoka WB, kisha gawanya kwa "population" ya Uganda.
Hata huku Tanzania, waziri wa fedha wa wakati huo, Philip Mpango, alisema kwamba Tanzania imeshaingia katika uchumi wa Kati mwaka mmoja nyuma kabla ya WB kutangaza, hata wakenya walipiga na kumshambulia Sana, Kama wanavyofanya kwa M7 hivi Sasa, wakenya hawapendi nchi zingine zikipiga hatua. Museven yupo sahihi katika hili, tusubiri kipindi cha mpito, lazima Uganda itatangazwa rasmi na WB.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app