ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mambo mchakamchaka
hii habari sio nzuri kwao niamini 🤣🤣🤣
Mambo mchakamchaka
Itabidi wajifunze kuvumilia 😅😅😅hii habari sio nzuri kwao niamini 🤣🤣🤣
Wewe shoga kuwa na adabu mbona machoko wenzako wako na nidhamu?Anaweza, magufala alisema Danganyika ni middle income na ukweli ni kwamba danganyika ni LDC
Sasa hapo unapopoint ni Upperhill yote? Wapi Prism Tower? Wapi 88Nairobi? Wewe ni kilaza sanahapo ilipo posta yote haionekani hebu angalia hii alaf ujifunze kitu bila kupanic🤣🤣🤣
hebu jifunze kitu hata umbali pia huoni
View attachment 2280545View attachment 2280546
kwani sio yote hio upper hii kuna jengo gani halionekani hapo 🤣🤣🤣🤣Sasa hapo unapopoint ni Upperhill yote? Wapi Prism Tower? Wapi 88Nairobi? Wewe ni kilaza sana
Pesa ya Burundi inakuwaje juu ya TZS? Unajua hili dafu nalo wakati mwingine naliona ni li pesa la kipuuzi sn.
Sasa in terms exchange rates, kati ya Ksh 19 na Ksh 23 ni gani ndio ina unafuu? Shilingi ikipanda dhidi ta dollar sio vizuri kiuchumi ila ikishuka ni afueni kwa wananchi. Stop dragging yourself into matters you don't understandnimefurah kuonasarafu ya kenya imeshuka from 23 to 19 asanteni 🇹🇿🇹🇿✅✅😃😃😃i
Uganda bado ni shit hole, wapambane waanze kusafirisha mafuta huenda yakawatoa.World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusan![]()
Uganda far from middle income: World Bank
Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT | The World Bank has put the per capita income of Uganda at 850 dollars for the financial year end 2022, with the economy growing at an estimated 3.7 percent. According to the Bank, this average income by a Ugandan is far below the lower-middle-income threshold...www.independent.co.ug
huyo mropokaji anaejifanya anajua kila kitu munapoteza muda wenu burealibishana na mm kuhusu mwanza sehemu nilipozaliwa mbona alinyooka akawa hanijibu
![]()








mpuuzi wewe 🤣🤣 ilikua 1000ksh ni 23,000 tsh kwa sasa 1000ksh ni sawa na 19,000tshSasa in terms exchange rates, kati ya Ksh 19 na Ksh 23 ni gani ndio ina unafuu? Shilingi ikipanda dhidi ta dollar sio vizuri kiuchumi ila ikishuka ni afueni kwa wananchi. Stop dragging yourself into matters you don't understand
Kanajifanya kukuchanganya, ww umeongelea TZS against Ksh kenyewe kanaongelea Ksh against $mpuuzi weweilikua 1000ksh ni 23,000 tsh kwa sasa 1000ksh ni sawa na 19,000tsh
wewe ulisoma hesabu ya vijiti au??![]()






Yani bado sana wangoje tu, tatizo M7 anakomaa wakati hana jipyaWorld bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusan![]()
Uganda far from middle income: World Bank
Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT | The World Bank has put the per capita income of Uganda at 850 dollars for the financial year end 2022, with the economy growing at an estimated 3.7 percent. According to the Bank, this average income by a Ugandan is far below the lower-middle-income threshold...www.independent.co.ug
Yule mzee ameshachoka akae kwa kutulia, Mh Hayati JPM alokua anasema tunaenda vizuri wala hakuwahi kusema tumeshavuka ldc badae world bank wenyewe wakakiriHivi kweli rais wa nchi anaweza kuzungumzia jambo kubwa Kama hili bila kupata ushauri wa kitaalamu toka kwa wachumi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app