Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wap na lin nimeongelea kuhusu mama kuwa mwanamke ndo kuwa haiwez hii nchi?
Wanasema "I'm only responsible for what I say, and not how you understand it"
Huwezi kujiona pitia posts zako halafu ujiulize kosa lake nn haswa believe me going through ur posts una ka-mfumo dume!

Na si wewe tu, wengi wenu kanda ya Ziwa mpo hivyo! Ndo maana Mama yuko busy zaidi na wakina mama upande huo kashasoma uelekeo.
 
Huwezi kujiona pitia posts zako halafu ujiulize kosa lake nn haswa believe me going through ur posts una ka-mfumo dume!

Na si wewe tu, wengi wenu kanda ya Ziwa mpo hivyo! Ndo maana Mama yuko busy zaidi na wakina mama upande huo kashasoma uelekeo.
Ruhusa pitia then unitag. Maybe nikukumbushe.. ni ichoboy alisema kwa dini yake mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi
 
Yeah lets see but so far..the Max 9 zitasaidia kuzifanya 787 ziwe free kwenye route ya mumbai ..kwani they can easily cover that on daily basis..

I think Max 9s will cover Joburg, Mumbai, Dubai and west african cities as main targets ..and Harare /Lusaka on busy days

So 787 can be deployed to Guangzhou, London and maybe Paris and states kama tukiweza kufanya hvyo ..
Hilo si tatizo liko-covered! Tatizo ni pale tunaenda London na Dallas na say Paris/Marseille! Hata ikiwa flights mbili weekly tayari shida!
 
But hongera kwa Rais SSH kwa kukamilisha kupata wakandaras wa vipande vyote vilibaki from Dar to Mwanza, thats what I really wanted her to accomplish. Sasa ni rasmi line yote ya SGR of over 1200km from Dar to Mwanza is underconstruction. 👏
Wewe huwa unampinga mama. Ni vizuri kuona leo umekubali kazi aliyofanya. Hakuna kiongozi ambaye hana uzuri wake na mapungufu yake.
 
Show us any Kenyan government hospital which has PET scanner machine for cancer patients.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenyatta Referral has a PET in their comprehensive cancer unit. - Inside KU hospital's new cancer imaging centre

Here is a link you can book an appointment uangaliwe kama uko na tumor kwa akili. - https://imaging.kutrrh.go.ke/service/01-pet-ct/

PET scanner Kenya ilipata more than 10 years before Tanzanians knew what it was. Ziko private hospital kadhaa pia.

Sasa ndio ujue Kenya sio ligi moja, show us 94 public hospitals in Tanzania with radiology machines and dialysis machines.

80% of Tanzanians wakijikwaa lazima wakimbizwe Dar ama Dodoma, let alone cancer and kidney failure.

mes.JPG
 
Ruhusa pitia then unitag. Maybe nikukumbushe.. ni ichoboy alisema kwa dini yake mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi
Kwani mfumo dume upo kwenye matamshi tu? Mimi nimekuangalia kwenye kiini cha nini haswa kinakufanya kumpinga na kwa kupitia spana zangu dhidi JPM nimegundua unajaribu kumpima kwa standards za JPM! Na hapo ndo mfumo dume unapoanza!

Maana huangalii demeanor (hulka) yake ikoje kama mwanamke! Pamoja na kuji-commit kumaliza miradi iliyoachwa tena kwa speed kwenu nyie si kitu.

Kwangu mimi nampima kwa uwezo wake ambao nauona kwenye kukuza biashara na utalii na sekta za kijamii maji na mahospitali haswa zile zinazowagusa wanawake na watoto! That's her approach kama mwanasiasa anajua ana-target voting block ipi!
 
Uondoe husda ya kimfumo dume juu yake basi! Kila serikali ina sera zake (kila kitabu na zama zake)!

Kama mama ameamua kufuata diplomasia ya kiuchumi kwa kufungua mipaka na kuhimiza biashara huwezi kutaka awe kama Mwendazake aliyejifungia akidhani biashara itamfuata!

Mwendazake alikuwa mjenzi ila biashara haikuwemo kichwani kwake na isingeweza kamwe kuwa sera yake! Hata angefanya Tanzania Dubai kimajengo na miundombinu; biashara yake hasingeiweza kwa sababu haikuwa his strength!

Na ndo maana hata jamii zina specialisation huwezi chukua Mchagga/Mkinga/Mhindi/Mmachinga aswage ng'ombe ila biashara ataweza likewise Msukuma umpe biashara! Kosa la Mwendazake hakujua hili.
Magufuli alihitajika awepo ili uione Tz ya leo, kwa uwezo wa viongozi wa kitanzania including mama ukitoa Nyerere hakuna mwenye uthubutu wa JPM, so kama Magufuli asingepita trust me haya unayoyaona leo yangebaki kwenye ilani pekee, kwani wamepita viongozi wangapi waliahidi mambo yaliyokuwepo kwenye ilani na walishindwa kuyatekeleza japo kwa 1% ukiwa umeamua kuponda basi ponda kwa aibu na sivyo unavyofanya ww unaponda kitu unachojua ukweli wake sio sawa na usijifiche kwenye kichaka cha sukuma gang.
 
wadau tukubalieni, hii nchi saiz haina kiongozi...
tuombe tu ndan ya miaka hii mitano hadi 2025 miradi yote ya Magu iwe imeisha... iwe ndan ya mda au nje ya mda.. lkn mpka 2025 iwe imeisha yote.. alafu 2025 uchaguzi mkuu mama akae pemben, amwachie hata majaliwa at the wheel.

mpka 2025 mama ajitahidi bas kufanya yafuatayo
  • amalizie sgr Dar-Makutupora, na Isaka-Mwanza
  • atafute hela (ziwe approved) za Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali SGR
  • ahakikishe Msalato airport inaisha
  • ahakikishe JNHHP inaisha
  • ahakikishe bas anaweka hata jiwe la msingi Dodoma stadium
  • ahakikishe ujenzi wa bomba la mafuta unaanza
  • na mengine baadhi..

haya mengine sijui umeme au maji kukatika sijui vitu gan vingine tutamsaheme tu maana hakutarajia kuwa Rais
emoji23.png
.. lkn 2025 akae pemben, tuendelee na mtu mwingine

japo yapo mengi mazuri anayafanya kama hizi 1.3tr za IMF, biashara na kenya, lkn uongozi kiujumla hana, nchi imelala, viongozi chini yake nao wamelala lala
(wapo wengi wazuri wafuatiliaji, lkn wanaogopa kumuoutshine the master mkimya)
Tony254 .. post ya 2 Dec 2021 hii
 
Hivi kwann hatupendi maendeleo ya wengine?izo simple building sizinasave the purpose?tuacheni mambo ya kiswahili..Health centres ya kuhudumia wateja 15k kwa mwaka tujenge maghorofa?lakini kama huduma ya mama na mtoto inapatikana kwenye simple buildings,huduma ya oxygen,Bemoc and Cemoc opd na nk basi tuache midomo...
Fyi izo health centres zinaajiri medical doctors,lab scientists, lab technicians, nurses,pharmaceutical assistants, pharmacist, clinical officers,nk...tena zinafungwa na imaging rooms kwa ajili ya x-rays and ultrasound so pia wanaajiri sonographers

Maendeleo ni mazuri popote.
Lakini comparison inapofanywa, ni muhimu kinachoendelea kwa hayo majengo kiangazwe.

Some of these machines cost the same as a skyscraper.
 
wadau tukubalieni, hii nchi saiz haina kiongozi...
tuombe tu ndan ya miaka hii mitano hadi 2025 miradi yote ya Magu iwe imeisha... iwe ndan ya mda au nje ya mda.. lkn mpka 2025 iwe imeisha yote.. alafu 2025 uchaguzi mkuu mama akae pemben, amwachie hata majaliwa at the wheel.

mpka 2025 mama ajitahidi bas kufanya yafuatayo
  • amalizie sgr Dar-Makutupora, na Isaka-Mwanza
  • atafute hela (ziwe approved) za Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali SGR
  • ahakikishe Msalato airport inaisha
  • ahakikishe JNHHP inaisha
  • ahakikishe bas anaweka hata jiwe la msingi Dodoma stadium
  • ahakikishe ujenzi wa bomba la mafuta unaanza
  • na mengine baadhi..

haya mengine sijui umeme au maji kukatika sijui vitu gan vingine tutamsaheme tu maana hakutarajia kuwa Rais[emoji23].. lkn 2025 akae pemben, tuendelee na mtu mwingine

japo yapo mengi mazuri anayafanya kama hizi 1.3tr za IMF, biashara na kenya, lkn uongozi kiujumla hana, nchi imelala, viongozi chini yake nao wamelala lala
(wapo wengi wazuri wafuatiliaji, lkn wanaogopa kumuoutshine the master mkimya)
Nilikuwa naitafuta! SGR Isaka-Kigali haitajengwa kwasababu si feasible!
 
Tena hawa mbwa huwa wanatumia Picha nyingi za Tz ikiwemo mastar wa Tz wakisema ni wa Kenya. Ila kinachoniudhi ni hz media zetu bongo kutumia picha za diesel SGR kuongelea electrifitried SGR wanaidhalilisha sn European standard SGR yetu.
Tulia mlipigwa, bullet train gani inakimbia 160km/hr [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie kanunueni Ethiopia sisi tunajenga demand kwa kuwekeza kwenye viwanda vingi na isitoshe majirani wetu wa Kusini (southern african power pool) wana demand kubwa ya umeme.
Thats the description of a white elephant.
 
Back
Top Bottom