Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

coodip1 anaonekana kama mtaalamu kwny huu upande hivi ni kwanini bado wanawaacha watu wakijenga kiholela holela inakera sana hii ni kati ya sababu zilizonifanya nisiwe shabiki wa Mr Lukuvi kbs.
Rushwa, uzembe, wizi wa viwanja (vyote pamoja na open spaces),kutokuwajibika, viwanja kubadilishiwa matumizi, kutokutoa vibali vya kujenga mapema na kupelekea watu kujenga sehemu ambazo hazijapimwa.

Mambo ni mengi kaka lakini wataalam wetu wa mipango miji wakijitoa na wakafanya kazi kwa weledi wanaweza kuibadili Tanzania.
 
Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.
Tunalenga soko la nje .

Wawekezaji wengi watavutiwa na sisi kwa hiki kipengele cha kuwa na umeme wa kutosha.
 
wachina ni kama wanakomoa yule wa Mbagala BRT sijui ana immunity gani? Aisee ananiudhi mpaka basi!
Ila uzuri wachina wanajua ukiharibu kazi Tanzania unarudia kwa gharama zako na unakula ban baada ya hapo.
 
Big economies always create demand for jobs as in the Uk and US so is Tanzania ndio maana remittances of Kenyans from Tanzania ziko juu
With your informal economy. Ndio maana you are good at exporting beggars while others are exporting skilled personell. 🤣 🤣 🤣 Huwezi kujicompare na developed countries where kuna overflow of opportunities, your demand problem inasababishwa na lack of skilled labour ju wengi wenu hamna expererience ya kufanya the few jobs that are available.
 
Tunalenga soko la nje .

Wawekezaji wengi watavutiwa na sisi kwa hiki kipengele cha kuwa na umeme wa kutosha.
Production costs zitakuwa chini na bidhaa zetu zitakuwa very competitive kwenye masoko hence itavutia more investors.
 
Taratibu mnaanza kujifunza kutoka Tanzania kuishi haya maisha ya kitanzania na kujenga kama Watanzania lakini hii ni 0.001% ya kunyaland, 99% middle class wenu bado mpo kwenye Baghdad settlement 😅😅😅

Hapa kidogo mmejaribu kuiga Tanzania

katani-10.2e16d0ba.fill-1512x2016.jpg
 
Sijasema wing, it's a common practice for hospitals kua na wing ya watoto. Nionyeshe children's hospital, a hospital that is built and dedicated entirely for children only. Tanzania has no public hospital for children and that's a fact. Kama unapinga nionyeshe moja nifunge account.
 
Quality is what matters. Hata huyo mchina wa Mwanza- Isaka inabidi asimamiwe vizuri sana ili kupata viwango tunavyotaka.
Hivi naye amefikia asilimia ngapi sasa hivi maana wanasema yuko slow tofauti na muda aliopewa.
 
Taratibu mnaanza kujifunza kutoka Tanzania kuishi haya maisha ya kitanzania na kujenga kama Watanzania lakini hii ni 0.001% ya kunyaland, 99% middle class wenu bado mpo kwenye Baghdad settlement [emoji28][emoji28][emoji28]

Hapa kidogo mmejaribu kuiga Tanzania

View attachment 2280852
Na wewe umeona eeh sehemu hii ni kama Tz especially Hamidu city [emoji116][emoji116]
image_downloader_1656939772090.jpg
image_downloader_1656940083103.jpg
image_downloader_1656939914626.jpg
 
Japo kasema ukweli.. ila wananchi wa chini watamtupia mzigo na lawama yeye [emoji23].. ana kazi sana kuwaelimisha hao watu
Huyu mama ni fala sana anatumika na mabeberu na waarabu ....vitu vya mitumba vimejaa ulaya wanatafuta pa kuvitupia ...sikuizi ni biashara kubwa ya kifisadi inayo fanya na wazungu kulazimisha africa kununua vitu chakavu kwa bei kubwa tu
 
Kilio kimeanza huko twitter lakini JF bado wamekaza mataqo
Hao hawako active, dreamliners zote mbili kwa ss zinaenda na kurudi Mumbai on daily basis from yesterday, pia kuna routes za Dallas zitaanza soon achilia mbali routes za Guanzhou, ofcz ndege za ATCL kwa ss zimeelemewa na mzigo, hazitoshi.
 
Back
Top Bottom