ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,065
- 3,218
Huo ni mchezo wa vichaa, lakini Nashukuru kwamba unatambua migiant ya Tanzania simba na Yanga.East Africa tuko France rugby (Kenya,Uganda,burundi)plus Cairo na kigali basketball (Kenya Uganda Rwanda, south Sudan)
Hiii Tanzania ni yanga na Simba tu!!!!
Hiii nchi inaboo sana, waaah!!!!

