Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikwambia na nikakupa evidence Tony kuwa Dangote and Twiga cement alone consume about 100MW..na hizo hazihesabiwi kama zimetoka Tanesco..

we need to know all TPDC customers so as to come with a correct number ya MW ambazo hizo imdustries zimetumia...kumbuka alot of industries za Dar, Pwani Lindi na mtwara ziko connected to Gas

Anyways Fund have already been alocated for
1.Malaragarsi Hydro 50MW
2.Mtwara Gas plant 300MW

Apart from that Underconstruction projects are
1.JNHPP 2145MW

2.Kinyerezi 1 ext amabyo 70MW out of 185 MW..have already been injected to the grid..

3.Rusumo Hydro 80MW..ambayo 27MW are to be added kwa Grid Ya Taifa

@cooldip1
View attachment 2280493View attachment 2280494
Tusizungumzie miradi ambayo bado ipo under construction. Tafadhali tuheshimiane. Mimi ninaposema kwamba Kenya inaproduce 3,000 MW ninazungumzia miradi iliyokamilika tayari na aidha inaproduce umeme kwenye grid ya taifa au imewekwa stand-by for emergency use. Yaani hio 3,000 MW ipo tayari kutumika hata sasa hivi tunapozungumza. Sasa Tanzania umeme ambao mko nayo ready to use ni chini ya 2,000 MW. Kiukweli kulingana na data kutoka serikali yenu ni kwamba Tanzania inaproduce around 1,700 MW ya umeme sasa hivi na kuconsume 1,400 MW ya umeme.
Tukija kwenye swala la gesi kutumika kwenye viwanda vyenu, umesema hujui ni kiasi gani ya gesi inatumika kwa hivyo inabidi ku-guess tu. Sasa kama unaona 300 MW niliyosema hapo awali ni ndogo basi wewe tuambie unafikiri viwanda vyenu vinaconsume gesi kiasi gani in terms of megawatts ili tulinganishe na ya Kenya.

Cc coodip1
 
Sijui kwann nilivyoisoma hii afu nikafananisha na ile 10,000km ya wakunya nimeishia kucheka [emoji2]
According to hii information yako, Egypt ilitumia $30m averagely for every km of road wakati the average cost duniani ni around $3.5m. Kama hungekua bongolala ungekua unajiuliza mbna Egypt itumie pesa nyingi hivi kujenga only 7000km
 
Sasa onesha posta ilipo kwenye hiyo picha kama unaweza. Maana aim yako naijua vizuri sana ni kuweka posta na kijitonyama kwenye picha moja.
Hebu linganisha hizi picha mbili
in_daressalaam_1645136555818313.jpg
mydaressalaam_1633824436919278.jpg

Na hizi mbili
Screenshot_20220704-070811~2.png
Screenshot_20220704-070636~2.png

Kwa hizo picha zote nne

1. Tan House is clearly visible in both
2. Vodacom head office is clearly visible
3. Millennium Tower is clearly visible, plus many other buildings that I don't know their names

So what's your argument again?
 
Tusizungumzie miradi ambayo bado ipo under construction. Tafadhali tuheshimiane. Mimi ninaposema kwamba Kenya inaproduce 3,000 MW ninazungumzia miradi iliyokamilika tayari na aidha inaproduce umeme kwenye grid ya taifa au imewekwa stand-by for emergency use. Yaani hio 3,000 MW ipo tayari kutumika hata sasa hivi tunapozungumza. Sasa Tanzania umeme ambao mko nayo ready to use ni chini ya 2,000 MW. Kiukweli kulingana na data kutoka serikali yenu ni kwamba Tanzania inaproduce around 1,700 MW ya umeme sasa hivi na kuconsume 1,400 MW ya umeme.
Tukija kwenye swala la gesi kutumika kwenye viwanda vyenu, umesema hujui ni kiasi gani ya gesi inatumika kwa hivyo inabidi ku-guess tu. Sasa kama unaona 300 MW niliyosema hapo awali ni ndogo basi wewe tuambie unafikiri viwanda vyenu vinaconsume gesi kiasi gani in terms of megawatts ili tulinganishe na ya Kenya.

Cc coodip1
Its okay..nikipata data za Gas to industries kama nnavyojua twiga cement na dangote .nitaweka

for now kama mnaproduce 3000mw its okay..lakini jua kwamba you dont have that long ..once JNHPP is complete we will be producing 4000MW in total..1000MW over you
 
Kitu kizuri kuhusu Pwani ni fursa ya kujenga real estate projects nyingi sana kupunguza msongamano wa watu wanaotaka kuishi Dar es salaam. Ukijenga commuter railway, expressways na BRT, itakuwa rahisi kuunganisha makazi ya Dar na Pwani. Pwani inaweza kukua kiuchumi haraka sana, na sio Kwa viwanda tu.
Babu kibaha sasa hivi kushajaa labda uende ndani huko,bus za brt zinafika mpaka kibaha sasa hivi,sasa hivi watu wanahamia vikindu huko ardhi bado rahisi mln 1 unapata bonge la eneo,pwani inaungana na dar kidogo kidogo
 
Anaweza, magufala alisema Danganyika ni middle income na ukweli ni kwamba danganyika ni LDC
Kwasababu Kikuyu Nation imeshindwa kupambana na njaa, rushwa, ukabila na Slums, hiyo isikufanye upoteze uwezo wa kufikiria, we are not failed state like you.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Babu kibaha sasa hivi kushajaa labda uende ndani huko,bus za brt zinafika mpaka kibaha sasa hivi,sasa hivi watu wanahamia vikindu huko ardhi bado rahisi mln 1 unapata bonge la eneo,pwani inaungana na dar kidogo kidogo
huyo mropokaji anaejifanya anajua kila kitu munapoteza muda wenu bure 😂 alibishana na mm kuhusu mwanza sehemu nilipozaliwa mbona alinyooka akawa hanijibu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom