tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
JPM alikamilisha 3500km za lami ndani ya kipindi chake...alifanya kazi kubwa sanaSijui kwann nilivyoisoma hii afu nikafananisha na ile 10,000km ya wakunya nimeishia kucheka
JPM alikamilisha 3500km za lami ndani ya kipindi chake...alifanya kazi kubwa sanaSijui kwann nilivyoisoma hii afu nikafananisha na ile 10,000km ya wakunya nimeishia kucheka
Sio mbaya hii hatua ni kubwa...ni matarajio yetu kua shirika like serious na huduma kwenye hii reli,uwekezaji huu ni mkubwa,Malori ili yapungue Morogoro road wanahitaji ufanisi wa hali ya juu na sio ubabaishaji
Gharama inategemea na ubora wa barabara walizojenga na ukubwa wa madaraja...izo hapo tu ni lanes ngap?wlafu ukute zinaenda km nyingi mbele7k kilometers Egypt wametumia $211 billion wakati 12k kilometers za kunyaland wametumia $ 10 million![]()
Kwanza wawajengee machinga maeneo ya biashara maana washawatimua barabarani,wakiweza hapo haya makubwa wataweza pia...tatizo letu sisi ubinafsi unatumaliza...alafu tulishaua private sectorOne of the best things about home building is when it’s done through massive real estate developments. Tanzania kila mtu ana idea yake ya kujenga na wakati wake wa kujenga atakapopata pesa. Result ya hii ni spaces zinazoonekana kuwa disorganized, empty, zisizo na huduma muhimu nk.
Lakini nchi za wenzetu Mara nyingi nyumba huwa zinajegwa na makampuni halafu watu wanatafuta nyumba kununua na wanalipa Kwa mortgage. Kwa hiyo Wewe kama mteja unatembelea nyumba zilizopo vacant kwa msaada wa real estate agents na unaangalia nyumba zinazofaa mahitaji yako na income bracket yako. Ukitaka kufanya mabadiliko kama kuongeza rooms baada ya ku-acquire nyumba ni lazima upate ruhusa Kwa local authorities. Na pia ukitaka kuhama una-renovate nyumba iongezeke thamani then unaiweka kwenye market.
Kwa hiyo hizi real estate development companies wanajenga nyumba nyingi, na kutokana na plans zao wanaweza kutengeneza entire communities. Wanaweza kujenga nyumba, wakajenga commercial buildings kama restaurants, super markets, grocery stores, salons, spa, pharmacies etc. Pia wanaweza kujenga playgrounds za watoto, parks and gardens, markets…essentially, huduma za muhimu watu wanazohitaji zinakuwa karibu yao. Pia ujenzi wa vitu kama sewerage systems, street lights, pavements, traffic lights unafanyika. Kwa hiyo kiufupi, suburbs zinakuwa za kuvutia na zinafuata urban planning design. Kawaida urban plans pia zina sehemu zinazoachwa nafasi kama shule na administrative services. Projects kubwa zinaweza kushawishi serikali Au private parties kuongeza maendeleo Kwa kujenga vitu kama shule karibu na hizi jamii ili watoto wapate elimu karibu na nyumbani. Kama kuna mtu anataka kujenga nyumba yake mwenyewe, of course kuna process za kufuata.
Ningependa ujenzi wa aina hii ufanyike Tanzania. Watu wanadhani urban planning ni sprawling suburbs zenye mabati ya kufanana rangi. However, ni kitu tofauti kabisa. I prefer walkable neighborhoods that are community oriented. Neighborhoods filled with all the basic services close to every citizen.
Mfano ninaoupenda ni hii real estate development somewhere in Atlanta, Georgia.
Kuna residential buildings of many varieties, commercial spaces, parks and playgrounds. Kenyans are already doing this by the way.
View attachment 2280422View attachment 2280423View attachment 2280425View attachment 2280426View attachment 2280427View attachment 2280428View attachment 2280429View attachment 2280430View attachment 2280431View attachment 2280432View attachment 2280433View attachment 2280434View attachment 2280435View attachment 2280436View attachment 2280442View attachment 2280443
Hii reli yetu soon itaanza kutumika matumizi ya umeme yatapanda...kuna viwanda 200 wanajenga wachina Eneo la Pwani linaitwa kwala wale nao wanahitaji umeme mwingi...kabla ya 2025 umeme utatumika kwa wingi ssna hapa TzNimesema Tanzania inaconsume 1,400 MW. Kumbe hujui tofauti ya kuproduce na kuconsume?
Thamani ya pesa sio kitu cha maana..inamanisha hela ya burundi ina nguvu kuliko south korea..it has nothing to do with GDP..cha muhimu ni stability ya hela over years ..esp to USD and other major currencies..Pesa ya Burundi inakuwaje juu ya TZS? Unajua hili dafu nalo wakati mwingine naliona ni li pesa la kipuuzi sn.
Si jana ulisema Miradi ni ya Watanzania wote baada ya kutoa evidence ya kwamba Kikwete ndiye alijenga Kigoma airport? Angalia unyoko wa Ki-Sukumagang wa chuki za kichawi dhidi ya mafanikio ya marais wengine! 👇🤷♂️😀JPM alikamilisha 3500km za lami ndani ya kipindi chake...alifanya kazi kubwa sana
Miradi ni ya wananchi wa JMT achaga ufala na ushamba,alijenga nani ni kwa niaba ,hakuna mradi wa Nyerere, Mwinyi ama nani apa
Nilikuambia unioneshe Prism Towerkwani sio yote hio upper hii kuna jengo gani halionekani hapo 🤣🤣🤣🤣
7k kilometers Egypt wametumia $211 billion wakati 12k kilometers za kunyaland wametumia $ 10 million 😅😅😅😅
Yah mm nagombana sn na jiji letu la Dar raia waliachwa wakajenga hovyo hovyo inakera sana, hatujachelewa mana Dar bado kuna eneo kubwa lipo wazi, rai yangu kwa serikali iwapimie watu viwanja na iwakataze raia kuendelea na ujenzi wa kiholela, pia waliojenga karibu na sehemu muhimu kama Airpot wapewe pesa wahame pale zijengwe hotel na Estate za maana. Karibu na Airpot hapapaswi kuwa na majengo ya kizamani yaliyojengwa hovyo hovyo japo naona ujenzi wa BRT phase 3 itaondoa uchafu pembezoni mwa Nyerere road.Mji wa Kibaha tayari una master plan nzuri sana nadhani uki google hutazikosa maana mpaka barabara wamejenga kwenye new town centre na wameweka restrictions kwenye aina ya majengo yatakayojengwa.
Ok sawa, umeelezea vizuri asante.Thamani ya pesa sio kitu cha maana..inamanisha hela ya burundi ina nguvu kuliko south korea..it has nothing to do with GDP..cha muhimu ni stability ya hela over years ..esp to USD and other major currencies..
Hela ya Tz imekuwa stable sana toka uncle magu alivyoshika uskani..tumecheza 2200 to 2300 against USD..kitu amabacho kikwete alishindwa ..maana mkpa aliacha 1200 ..kama sikosei..yeye alipeleka hadi 2000..
I hope maza ataweza kuifanya stable pia
Sioni sehemu Kenya itakaribia Tz baada ya SGR kuanza kufanya kazi.Hii reli yetu soon itaanza kutumika matumizi ya umeme yatapanda...kuna viwanda 200 wanajenga wachina Eneo la Pwani linaitwa kwala wale nao wanahitaji umeme mwingi...kabla ya 2025 umeme utatumika kwa wingi ssna hapa Tz
Wamekopa wapi round hii....now naona entire phase one being implemented, this is Good hata Jpm kama amelala Basi Alale kwa amaniWadau nani kapewa Tabora to Isaka 165kmView attachment 2280551
Pesa ya Burundi inakuwaje juu ya TZS? Unajua hili dafu nalo wakati mwingine naliona ni li pesa la kipuuzi sn.



Hao hawaijui Dar wanaiona kwenye mitandao tuu.
Hayahusiani na mada, alafu wacha kua negativeSi jana ulisema Miradi ni ya Watanzania wote baada ya kutoa evidence ya kwamba Kikwete ndiye alijenga Kigoma airport? Angalia unyoko wa Ki-Sukumagang wa chuki za kichawi dhidi ya mafanikio ya marais wengine!😀
Tuimarishe sana private sector yani serikali iokote kodi tu...lakini bila hivyo tutaendelea kuburuzwa sanaSioni sehemu Kenya itakaribia Tz baada ya SGR kuanza kufanya kazi.