kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,209
- 5,284
Tanzania sisi tunashobokewa tu mataifa ya Mabeberu kwa ajili ya Ujamaa wetu, that's all.
Sisi ni moja ya less than 3 countries in Africa in terms of food security na export ya chakula. Yaani kipo kingi mpaka cha kuuza.
Ujamaa wetu ndio umefanya mpaka Nyerere amefichwa kwenye ranking na viongozi wengi average tu kama Mandela.
It's ridiculous kufuatisha most of these statistics and ranks.
Typical Tanzanian reasoning.
Mashida yote ya Tanzania imeletwa na Wakenya na Wabeberu. It's never you.
Nyerere alifanya yepi, isipokuwa kuwacha Tanzania fukara. Nchi yenye maliasili yote ijulikanayo, lakini bado ni one of the poorest in the world.