Utajiri wa nchi unaonekana on ground na co kwenye makaratasi, unataka kuniambia Kenya ni tajiri zaidi ya Tz kwasababu ya makaratasi au sio? Kwamba unakataa maendeleo on ground unataka HDI ya kwenye makaratasi? Unakataa kwamba tunawazidi kwenye thamani ya miradi tunayofanya lkn unakubali HDI, hata hiyo HDI bado haina maana yoyote kwa Kenya cz bado mnasumbuliwa na vitu vidogo vidogo na vya aibu kama cholera, njaa, ukosefu wa lishe bora, poor health services etc haya nani zaidi hapo kama tutaingia ground?