Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani nimecheka sana Nyagau ndio kapata Cyberknife leo ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata

Tanzania Cyberknife technology iko tangu 2014 at MOU

Iko wapi hio yenu? imekua coming soon since 2014. 🤣 🤣 🤣

Africa ziko mbili pekee, Kenya and Egypt. Hio ya Tanzania iko wapi?

Image
 
Hii ni kali. Kenya siku hizi tunapata continental headquarters. Makampuni zimeanza kuachana na South Africa. Zamani kampuni zote zilikuwa zinakimbilia South Africa kuwekeza continental headquarters huko.
Yes, sasa tunangoja Uhuru alaunch Nairobi International Finance Center. Zitakuja mingi sana, more jobs will be created.
 
sababu hayupo,mnatupia kila baya zuri mnataka mmpe huyu mama kilaza
Hizo trains mtumba ziliagizwa in 2020 wakati wa Magufuli walitakiwa wawe wame deliver by April 2021 wakasogeza mbele mpaka November 2021 bado ikashindikana mkataba ukavunjwa rasmi February 2022. Sasa hivi TRC wana repair wenyewe bila mkandarasi wa awali ambae ni Eurowagon.
 
And we should mention the machine is headed for a public hospital.
This should be the real Kenya vs Tanzania hospitals comparison. Sio zile empty buildings bongolala huleta hapa.
Hivi kwann hatupendi maendeleo ya wengine?izo simple building sizinasave the purpose?tuacheni mambo ya kiswahili..Health centres ya kuhudumia wateja 15k kwa mwaka tujenge maghorofa?lakini kama huduma ya mama na mtoto inapatikana kwenye simple buildings,huduma ya oxygen,Bemoc and Cemoc opd na nk basi tuache midomo...
Fyi izo health centres zinaajiri medical doctors,lab scientists, lab technicians, nurses,pharmaceutical assistants, pharmacist, clinical officers,nk...tena zinafungwa na imaging rooms kwa ajili ya x-rays and ultrasound so pia wanaajiri sonographers
 
Zitumike wapi? Manake kama ni kutuuzia sahau.
Nyie kanunueni Ethiopia sisi tunajenga demand kwa kuwekeza kwenye viwanda vingi na isitoshe majirani wetu wa Kusini (southern african power pool) wana demand kubwa ya umeme.
 
Uganda bado sana. Kama World Bank wanawapinga waziwazi na kusema kwamba bado wapo mbali na middle income unashindwa M7 alikuwa anajipea kimbele mbele ya kutanganza kwa nini.
Uganda nchi nzuri wamekosa kiongozi tu
 
Yaani nimepitia huu uzi siku chache nyuma, wakenya mnanyonga watanzania na facts bila huruma👍, hadi raha, sioni la kuongeza, wacha niende zangu niendelee na shughuli, big ups Tony254 , Coco Master , Nicxie nairobae Mashashola KENPAULITE etc.., mko wachache lakini mnatesa waTz, mostly wanashindwa kujibu hoja with facts, mostly ni porojo, propaganda na janja janja za kupotosha ili kujikweza,
big ups Walker255 for objectivity and reason., Let me follow from the sides leo.,
 
Yaani nimepitia huu uzi siku chache nyuma, wakenya mnanyonga watanzania na facts bila huruma👍, hadi raha, sioni la kuongeza, wacha niende zangu niendelee na shughuli, big ups Tony254 , Coco Master , Nicxie nairobae Mashashola KENPAULITE etc.., mko wachache lakini mnatesa waTz, mostly wanashindwa kujibu hoja with facts, mostly ni porojo, propaganda na janja janja za kupotosha ili kujikweza,
big ups Walker255 for objectivity and reason., Let me follow from the sides leo.,
One love bratha man, Ipo siku tukutane tule mbuzi.
 
Wanaumia ndani kwa ndani. Ndio maana hata comedians wenu wanapata shida sana kuwachekesha.
Makasiriko ndio zenu.

Danganyikans wana huzuni sababu Danganyika huwezi kusema mawazo yako bila CCM kufunga jela
 
Very wromg we had it since 2014 or rather 8 years ago.

Ni pale Mkunya anapofikiri ndo wa kwanza Africa na kujikuta watu wamekuwa na Cyberknife since 2016! Hii ni kama ile case ya kutenganisha mapacha Muhimbili imenza 1994 wakati Kunyaland imeanza 2016!

CC: Tony254

Nyie hushika mkia siku zoote! Hata SGR length tumeshawapiku na mlianza nyie kujenga! Na mtachukua miaka 100 kuwa na electrical SGR!
 
Fungeni hii battle bana. Kenya vs South Africa next
Vitu tumekuwa navyo tangu 2013, lazy laggads mlikuwa wapi?
 
Those are kenyan professionals trying to help you illiterates because you lack skilled labour. Unaexpect omba omba wa bongo wenye wako Kenya wawashinde kwa remittances.
Kwamba professional Kunyans wanaenda USA na UK kwasababu kule kuna shortage ya experts, Wakunya hamna akili
 
Back
Top Bottom