chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Miradi ni ya wananchi wa JMT achaga ufala na ushamba,alijenga nani ni kwa niaba ,hakuna mradi wa Nyerere, Mwinyi ama nani apaUwanja wa ndege wa Kigoma ni Kikwete! JK alijenga runway! Huyo JPM alikuwa anajimilikisha miradi halafu alikuwa mpaka anaweka jiwe la msingi halafu kimya! Hizi barabara ni mama katoa fedha! JPM miradi ya Chato na Mwanza tu!
CC: Sukumagang chongchungMiradi ni ya wananchi wa JMT achaga ufala na ushamba,alijenga nani ni kwa niaba ,hakuna mradi wa Nyerere, Mwinyi ama nani apa
Hiyo picha imepigwa kutoka Gigiri, with Westlands skyline in the background. Personally, mimi hupenda sana green spaces japo kuna baadhi ya watanzania hubeza picha kama hizi za Nairobi na kuziita misitu. Wasichokijua ni kwamba utunzi wa mazingira kama haya ni muhimu sana kwa miji zetu. Kando na kuvutia, pia inachangia hewa safi kama uliyosema hapo juu.Hii picha ya mwisho natamani miji yetu yote ingekuwa hivi, yaani both Countries. Miti,majengo,hadi hali ya hewa unajua kabisa wakazi wake hapa wanapata hewa safi kabisa.
Bila shaka serikali zetu zinajifunza kitu kutokana na picha zinazowekwa humu.
Kuna jamaa hata SGR alilazimisha ipite kwake na Rwanda japokuwa DRC walitaka reli ipite Burundi!
Huu uwanja ulijengwa kabla ya ule wa Chato ila mpaka sasa haujakamilika! Fedha hazikuwapo ila za wa Chato zilikuwapo!
Kigoma kwetu nayo inashamiri
Ni nzuri sana,inapendeza. Hilo eneo waliweza kuliweka safi. Miti ina faida nyingi sana ndio maana nasisitiza mipango miji wawe na utaratibu wa kutenga maeneo ya kupanda miti ili itoe hewa safi kwa viumbe hai wakiwemo wanadamu.Hiyo picha imepigwa kutoka Gigiri, with Westlands skyline in the background. Personally, mimi hupenda sana green spaces japo kuna baadhi ya watanzania hubeza picha kama hizi za Nairobi na kuziita misitu. Wasichokijua ni kwamba utunzi wa mazingira kama haya ni muhimu sana kwa miji zetu. Kando na kuvutia, pia inachangia hewa safi kama uliyosema hapo juu.
Angalia Sukumagang hata typos anazikomalia!Kigoma kwenu sio. Nimeelewa sasa😅
Ni Sisi,south afrika na misri tunaofanya upasuaji huu Afrika.I knew it though I prayed for it, thanks God.
Sijawahi kumkubali huyu mtuHii kauli imekaa vibaya ukizingatia imetoka kwa kiongozi wa dini na mama Majliwa ni Mkristo!
Tuombe Mungu tu baba hawa viongozi wetu wa dini wajawe na Hekima na Busara!Sijawahi kumkubali huyu mtu
From his white mother or his Kenyan father?🤣🤣🤣BTW he has Zanzibari roots too though we don't give a damn!
Ukikosa kua original lazima itaonyesha tuWalai bana, huyo dem anasound kama mlunje. Hio sheng yao inasound kama zile sheng za ocha ikona mother tongue influence.